Nikifika hatua ya mwisho napata ujumbe huu, na nimefanya kila kitu kujaribujaribu bado ujumbe ni ule ule
Nimewasiliana na benk wanaelekeza na nafanya marekebisho wapi.
Nikifika hatua ya mwisho napata ujumbe huu, na nimefanya kila kitu kujaribujaribu bado ujumbe ni ule uleView attachment 3629724
Nimewasiliana na benk wanaelekeza na nafanya marekebisho wapi.
Hii ni error code ya kwenye system uzuri si imekuonyesha nini kinatakiwa kufanyika hapa.Sema vipi Mama Edina mambo ya mikopo sio achana nayo kama hakuna ulazima ukianza marejesho ndio utaona kazi ngumu hiyo.