Naomba msaada kwenu wanawake wa humu jamvini

Naomba msaada kwenu wanawake wa humu jamvini

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,988
Wanawake wanatambuaje kuwa mwanaume kakojoa shahawa kiduchu?

Juzi ndoa yangu ilikuwa kwenye msukosuko balaa baada ya wife kugundua kuwa nimekojoa shahawa chache japokuwa nilijitahidi kukataa baada ya yeye kunituhumu kuwa lile ni bao langu la tatu yaani nimetoka kukojoa mara mbili huko nilikotoka!!!

Kiukweli jioni yake nilitoka kuchepuka lakini je wanawake wanajuaje? Niko kwenye ndoa huu mwaka wa 26 lakini kila nikiwaza sipati jibu.

Wife alienda washroom aliporudi ndiyo akauwasha Moto haswa akisema kiukweli umeniumiza sana maana nishajua umetoka kusex na mwanamke mwingine, please wanawake mlioko humu naombeni uzoefu wenu nawasilisha.
 
Ndoa ina 26 yrs na bado unachepuka kama sisi mayanki?Pathetic
 
Ndoa miaka 26 alafu unauliza hiki kitu kweli? Hiyo miaka 26 yote hujaexperience challenges zozote ndani ya kitu kinachoitwa ndoa?
Kiufupi ulivyouliza ni kama vile una wiki tangia uoe.. Tulieni na wake zenu
 
Bao huwa jepesi ka upepo Yani, ndo twajua hafu ndoa 26 siumeshakuwa babu na wajukuu ukute huko nje unakojoa sekunde kumi angalia usifie guest ka Yule babu!?
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji106][emoji106] kweli alienda washroom alivyorudi ndy ikawa balaa maana mwanzoni nilipomaliza akaniambia mume wangu hili unalokojoa hapa kama sio la tatu basi la nne[emoji15][emoji15]niliogopa sana maana kweli jioni hiyo nilitoka kumpa mtu goli mbili nzito aisee sitarudia maana wife japokuwa mtu mzima Ila aliumia sana mpaka leo niko safarini analalamika tu kuwa huku niko huru .....[emoji2][emoji2]
 
Acha kuchepuka wewe mutu unaona sasa maza house amekinukisha ngoja sasa na yeye akakitembeze
 
Hahahaa mkulungwa ushafeli hapo mkeo yupo sahihi bao la tatu ni jepesi na ye huisi uzito wa bao pia alivyoenda washroom alienda kulikamua litoke anaona empty hahaaa mzee umefail sana sana unatakiwa uanze kwa mkeeo ukamalizie nje uko ambapo huulizwi
 
Well said MKUU wangu [emoji120]
 
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji106][emoji106] kweli alienda washroom alivyorudi ndy ikawa balaa maana mwanzoni nilipomaliza akaniambia mume wangu hili unalokojoa hapa kama sio la tatu basi la nne[emoji15][emoji15]niliogopa sana maana kweli jioni hiyo nilitoka kumpa mtu goli mbili nzito aisee sitarudia maana wife japokuwa mtu mzima Ila aliumia sana mpaka leo niko safarini analalamika tu kuwa huku niko huru .....[emoji2][emoji2]
Kazi kwelikweli mtu Malaya kujulikana bao huwa ka maji kabisa tofauti na mtulivu
 
Harafu shetani kanikamata aisee napenda sana vibinti vimodo huwa napata raha sana sio siri
Tubu uache zinaa aisee huo umri wako wa ibada aisee duniani hamna jipya
 
Back
Top Bottom