Msaada: Wanaume naomba mnifundishe kutongoza na Wanawake mnipe ujuzi wa kuongea nanyi na kuwatongoza

dantaboi

Member
Dec 18, 2017
26
10
Heshima mbele waungwana mimi ni kijana wa miaka 25. Kilichonifanya kuja hapa ni kuomba msaada wa kimawazo kifikra. Kwani najua hapa kuna watu ni wajuzi sana naomba msaada kwenu nyote me/ke usipite bila kuchangia kwani nadhalilika sana.

Mwenzenu sijui kabisa kuongea na wanawake siwezi kutongoza na sijawai kufanya mapenzi toka nizaliwe mimi nawaogopa sana wanawake na sijui hata pa kuanzia kuongea nao ili niwatongoze na hata namna ya kutongoza sijui, mtaani sieleweki watu wanadhani mimi mgonjwa ila kiukweli niko safi kabisa.

Mim sio mtu wa kujichanganya na watu mara zote napenda kuwa alone kuna mtu aliniambia ninunue dada poa mwisho nitazoea ila kiukweli hata namna ya kuongea na dada poa siwezi, sijui nianzie wapi hata kama mfukoni nina laki naeza kwenda club ila nikatoka kavu wakati wenzangu wanaondoka na mizigo ya ukwel huwa naumia sana.

Kuna mwanamke tuko ofisi moja nilitaka kujaribu ila majibu niliyopata sikuwa na nguvu alisema kama nina hamu nipige punyeto na kama siwezi nitafute basha anitoe ushamba.

Naomba mnifundishe kutongoza na nyie wanawake humu naombeni mnipe ujuzi wa kuongea na nyinyi na kuwatongoza. Na pia munuieleze jinsi hata ya kununua dada poa maana hela naweza kuwa nayo na nisipate kitu.

Tafadhali nisaidie
 
nashauri usitumie njia ya ana kwa ana kumtongoza mwanamke tumia mawasiliano kufanya hivyo na kupangilia maneno yako vizuri Hii itaepusha aibu .

Kuhusu kupata wadada poa sikushauri unaweza kujiingiza matatizoni na Hii ni baada ya wewe kusema hujawahi kushiriki tendo.

Jaribu kupata msichana unayedhani mnaendana na kuhakikisha unampata.

Usitumie pesa kumtongoza mwanamke,Hii itapelekea kuhitaji fedha maana first meeting ina onyesha the way you are and it'll last forever in her mind.

Nakutakia mema.
 
nakujua sana endelea kurudisha umri nyuma tu, acha kusibiri mwanamke akuombe hela au zawadi idiots
 
Back
Top Bottom