Naomba msaada kwenu wadau wenye uzoefu

Naomba msaada kwenu wadau wenye uzoefu

THE BRAINER

New Member
Joined
May 2, 2024
Posts
2
Reaction score
2
Habari zenu wadau. Hivi ni Bank gani ina toa riba nzuri pale mtu anapoweka pesa Kwa lengo la kupata faida. Je Kuna ukweli kuwa ECO Bank Wana riba kubwa kuzidi UTT??

Naomba mawazo yenu, maana nipo kwenye process ya kuanza uwekezaji mdogo kwenye hizi Financial Entities. Nawasilisha Ahsante.
 
Bila shaka watalam wa haya mambo wanakuja kutupa uzoefu.
 
Habari zenu wadau. Hivi ni Bank gani ina toa riba nzuri pale mtu anapoweka pesa Kwa lengo la kupata faida. Je Kuna ukweli kuwa ECO Bank Wana riba kubwa kuzidi UTT??

Naomba mawazo yenu, maana nipo kwenye process ya kuanza uwekezaji mdogo kwenye hizi Financial Entities. Nawasilisha Ahsante.
Tunaosubiri mwongozo kama huu tunafuatilia hapa
 
Back
Top Bottom