Naomba msaada kwa wanaoifahamu Redia Kicheko ya Mjini Moshi

steve111

Member
May 29, 2015
91
58
Ndugu zangu niliomba nafasi za kazi hapa kwa position ya Accountant then nimeitwa kwenye usahili then Mimi nipo Iringa sasa kwa watu wa Moshi mnaifahamu hii Radio Station mazingira yake.

Natanguliza Shukrani.
 
Kama umesomea journalism na wewe ukiwa na experience huwezi kuulizia Mazingira ya media naamini unajua changamoto zake kinagaubaga! Kujitolea pasipo na ukomo + hakuna posho ya usafir

Tegemea press conference ili uweze kujikwamua! Sasa wewe kama hupendi kwenda field Mzee kaz ya redio itakuwa ngumu kwako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom