Naomba msaada kwa wanaofahamu sheria zinasemaje

Mkonga100

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
660
494
Hukika na kichwa cha habari pale juu. Ivi sheria inasemaje maana mwaka jana shambani kwangu kuligundulika kuna madini nikaambiwa nitarudishiwa fidia madini ni mali ya serikali. Ok sawa
Sasa mwaka huu kweli shamba lingine wamekuta bangi pale katikakti ya shamba sasa sielewi nayo itakuwa mali ya serikali nitarudishiwa fidia au


Mm sielewi sheria ikoje hapo
 
kwani madini huwa yanaoteshwa? mimea kwa vile ulipanda mwenyewe hiyo ni yako onyo'anokho ebhe!!
 
Back
Top Bottom