mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Asalamu Alaikum
Jamani wana Jf mwenzenu ni mgeni kidogo wa jiji hili la Dar nimekuja kwa ajili ya msiba na nataka nikimaliza msiba niende Tanga kuangalia fursa za Biashara.
Naomba mwenyeji wa Tanga aliopo tanga ili anipe sapoti na muongozo kwa jiji hilo kwani sijawahipo kufika.
Anaehisi yuko tayari kunisaidia basi PM namba yako nikupigie kwa ajili ya kupanga safari ya kuja huko
Natanguliza shukrana kwenu nyote.