Naomba msaada kwa kwenu wataalamu

Habari nzenu ndugu .

Natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku bila shaka naleta hili jf ili mnisaidie naamini hapa jf hakishindikani kitu.

Mwaka juzi kuna rafiki yangu tu tuliingia nae mkataba wa maswala ya kusuply mzigo ( siri ila wa halali) wenye gharama 1.5 mil. Yule jamaa tulifanya nae kazi kwa uaminifu kwa muda wa kama miaka miwili hivi sasa sijui ilikuwa aje siku ya kumpa hela huyu jamaa ndo ikawa ndo ntolee mazima kwakweli aliniacha katika wakati mgumu sanaa ikizimgatia kuwa mzigo huu ulikuwa wa kampuni ninayoifanyia kazi .

Basi baada ya kumtafuta kwa muda mrefu takribani mwaka mzima na nikietembea na RB zijampata yani anatoka eneo moja kwenda eneo jingine yani hatulii kwakweli nikaamua kukopa kwenye taasisi flani nikalipa deni kwani ofisi imishaanza kunitilia shaka kwakweli taasisi ile ina riba kubwa ila ikanibidi deni ambalo nalilipa hadi sasa .

Kesi nilishafungua

RB ninayo .

Mikataba yote ninayo .

Huyu jamaa mara moja moja simu yake ukipiga inaita ila hapokei na hata akipokea anajifanya kama umekosea namba yanii mchezo ndio huo .

Kwa helufi kubwa .NAOMBA MNISASIDIE HUYU JAMA NIWEZE KUMPATA KANITESA SANAA NAOMBA KUWAKILISHA.
Umenikumbusha mbali sana,kuna shemeji yangu aliingia mitini na hela kama wewe pile sana.Nenda police kama una namba yake watamjua yuko wapi!Maelezo zaidi nenda huko.
 
Duh!alikupiga kweli 19m
Siku nyingine ikitokea hali kama hiyo
Kuna mbinu nyingi za kuwakomoa watu
Kama hao,unamfanyia umafia tu then unamchoma kwa wazee,pesa itamtoka

Ova
Hivi sikukuambia? Enzi kakola kumelipuka...bas nikamwachia kifusi geita mie huyo kakola....siku nampgia tutafte mteja tuuze aje huku akasemapoa..yaan kauza asbh saa11 gar zinasomba...sijui nisemeje...pesa ilitutoka balaa na tusimkamate...later ndugu wakaanza nitisha..oh ni very risk anaweza nunua bastola naye akakuwinda...yaan ni ndugu kbs ..nimeamua kutulia tu ila ntamshika...niliwaza had huko ujue...
 
Duh!tatizo ndugu kuingilia
Mambo ya ndugu tena
Lazima upoteze haki yako
Ila mm nisingekubali
Acha undugu ufe tu

Ova
 
Ndugu tafuta binti mzuri mpe mchongo mzima na umuwezeshe kwa fedha alafu mpe namba ya jamaa. Ampigie na kujifanya amekosea namba. Akifanya hivyo mara nne kwa mwezi lazima jamaa atataka kumokea na atakuwa ameingia kwenye mtego kirahisi.
 
Naamini zipo njia za kumnasa, inawezekana zikakutaka kuwa na subira lakini ukiwa vizuri zinafanya kazi.
Kwa sababu umeahirikiana naye kwa muda mrefu, unamjua udhaifu na utimamu wake. Hapo ndipo pa kuanzia.
 
Hivi sikukuambia? Enzi kakola kumelipuka...bas nikamwachia kifusi geita mie huyo kakola....siku nampgia tutafte mteja tuuze aje huku akasemapoa..yaan kauza asbh saa11 gar zinasomba...sijui nisemeje...pesa ilitutoka balaa na tusimkamate...later ndugu wakaanza nitisha..oh ni very risk anaweza nunua bastola naye akakuwinda...yaan ni ndugu kbs ..nimeamua kutulia tu ila ntamshika...niliwaza had huko ujue...

pole sana, huko kwenye madini kuna roho chafu sana. Be care
 
Huyo mtu achana nae. fanya maisha yako. kinaweza kukukuta kitu kibaya ukapoteza hata kidogo ulicho nacho. if u managed to move on just continue

Maisha ni zaid ya hiy 19m
Yaani ndugu wote wanasema hilo neno..ila ndo maan umaskini unatuandqma...kwanini unasema hivyo?
 
Back
Top Bottom