luckers
Member
- Jan 6, 2013
- 64
- 2
Sory...kwa kuvamia jukwaa sababu kubwa ni kukosa majibu ya uhakika ktk jukwaa husika...
Naomba kuuliza kama kuna mtu anauzoefu na kununua simu online anajulishe tuwasiliane nae tufanye biashara nahitaji smartphone nimeona online kunaunafuu ila sijui nitaipataje na vip kuhusu kuripia number zangu ni 0752628466...au unaweza kuweka number zako hapa afu mm ntakupigia naomba mnisaidie wapendwa
Ahsanten sana