Naomba msaada kuondoa kelele za pressure pump

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
222
Wakuu habari za asubuhi,

Naomba msaada kidogo, kuhusu presure pump sound. Je, kuna mtaalam anaweza kunisaidi akanipa ujanja wa kuondoa kelele za pressure pump?

Dah hasa usiku hulali vizuri ukifunguwa maji sauti ya pressure pump unaisikia pia huwamsha majirani je mnaweza kunisaidi pressure pump yangu ikawa silent ninapo funguwa maji? Shukrani.
 
Picha ni muhimu sana kuliko baadhi ya maelezo uliyotoa
 
Wakuu habari za asubuhi,

Naomba msaada kidogo, kuhusu presure pump sound. Je, kuna mtaalam anaweza kunisaidi akanipa ujanja wa kuondoa kelele za pressure pump?

Dah hasa usiku hulali vizuri ukifunguwa maji sauti ya pressure pump unaisikia pia huwamsha majirani je mnaweza kunisaidi pressure pump yangu ikawa silent ninapo funguwa maji? Shukrani.

Sijakuelewa vizuri ila unaweza kuweka tank juu (ukajengea nguzo likawa juu) ina maana ukishalijaza maji mara moja; yatakuwa yanatoka yenyewe kwenye nyumba nzima bika kutumia hiyo pressure pump.
Kama umejiunganisha na Idara ya maji; mara nyingine maji yakija yanapanda yenyewe kwenye tank na kukupunguzia gharama za umeme...
 
Uwe unaiwasha muda wa matumizi makubwa mfano asubuhi wakati watu wana oga na kufanya usafi na muda ambao matumizi ya maji yako juu kama kufua na kadhalika usiku ukimaliza izime maji yashuke yenyewe tu kama tenki zako ziko juu. mi ndio ninavyo fanya maana kale kasauti kanakera sanaaaa hasa usiku.
 
ka mota kake Kana kelele sana
1722939075972.png
 
Uwe unaiwasha muda wa matumizi makubwa mfano asubuhi wakati watu wana oga na kufanya usafi na muda ambao matumizi ya maji yako juu kama kufua na kadhalika usiku ukimaliza izime maji yashuke yenyewe tu kama tenki zako ziko juu. mi ndio ninavyo fanya maana kale kasauti kanakera sanaaaa hasa usiku.
Dah naam inabidi nifanye hivyo, hakuna budi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom