Kama nimezaliwa Tanzania, baba yangu ni Mtanzania na mama si Mtanzania, anaishi kwa dependant pass, je mimi ni raia au si raia? Juzi nimekamatwa na Uhamiaj kuwa sijaapa kukana uraia wa mama.
Kama umezaliwa Tanzania wewe ni Mtanzania because you have Tanzanian birth certificate and your dad is Tanzanian citizen labda ungeenda kweny hiyo nchi ya mama ako ambae sio m tz and your above 18 ndo inabid ufwate process za hio nnchi ya mama ako sheria zina tofautiana kati ya nchi na nchi lakin ukizaliwa Tanzania wewe nim Tanzania you don't need kuapa wala nini Ndongaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.