Naomba msaada kuhusiana na bluestack

Naomba msaada kuhusiana na bluestack

M12

Member
Joined
Jan 21, 2015
Posts
63
Reaction score
30
Natumia bluestack kuingia whatsapp lakini inajizima yenyewe naweza nikawa nimeifungua naitumia lakini nikiacha kuitumia kwa sekunde kadhaa inajizima mpaka niifungue tena upya.

Inachotaka nisipumzike hata kidogo niendelee kuitumia tu.
 
Achana na bluestack, Whatsapp wametoa window version itafute google.
 
Back
Top Bottom