tekategula
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 171
- 97
Unavodai nimgeni wakati nimwenyeji humu isipokua nimebadili id tu nikama umefoji vyeticjafoj mi ninavyo vyote
Unavodai nimgeni wakati nimwenyeji humu isipokua nimebadili id tu nikama umefoji vyeticjafoj mi ninavyo vyote
Anatia shaka sana huyu atakua kafoji vitu huyu[emoji15] [emoji15]Seems like ni mwanaume anajaribu kuchukua attention ya watu humu kwa kujifanya mwanamke
Kwanini ajiite jina la ajabu kama hilo
[emoji125] [emoji100]Mh, bado mi mdogo kuolewa naskia ndoa ngumu
Nikiclick vinakuja vimaandishi vidogo na picha lakini hawajaandika meseji
Mfano?Ahsante thatsit, ila humu watu wana majina magumu
Nisingetishwa ningeyataja hapa halafu mtu aingie hata google aone kama ni kweli au sio kweli lakini naambiwa humu hutakiwi kutaja majina yako halisi labda kifupi au jina la utaniYani kifupi cha majina yako matatu ndio kilete 'Dick monger'??
Acha uongo mkuu
website, kwani kuna app?
ok ahsante kwa kunijuza
Hicho ki emoji kama umenikonyeza hivi?