Naomba msaada kidogo wa kifedha, naumwa T.B na mke wangu ni mjamzito

Sa
sasa hapa unakubalina nami au
 
Uza shamba

mvujajasho nguli
 
TB ni Airborne disease Mkuu.Inaambukizwa kwa kukohoa,kupiga,kutema mate,Kucheka na kuongea.Ukivuta hewa ambayo ina Bacteria wa TB unapata TB.Unavaa mask unapoongea na mgonjwa mwenye TB.
 
😀😀😀😀,Hawezi kuwa MD.
 
Aisee kumbe uliamua kumuoa baada ya kumalizia chuo, sasa inakuwaje wasomi mnaenda kuchimba dhahabu badala ya taaluma zenu mlizosomea Nashindwa kukusamehe nashindwa kukuacha - JamiiForums
 
Mgonjwa anapokuja hospital huonana na doctor moja kwa moja kwenye chumba chake, na wakati huo doctor anakua hajui mgojwa aliye ingia anaumwa nn..
Je umewahi kuingia kwa daktari ukamkuta kavaa mask???
TB ni Airborne disease Mkuu.Inaambukizwa kwa kukohoa,kupiga,kutema mate,Kucheka na kuongea.Ukivuta hewa ambayo ina Bacteria wa TB unapata TB.Unavaa mask unapoongea na mgonjwa mwenye TB.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgonjwa anapokuja hospital huonana na doctor moja kwa moja kwenye chumba chake, na wakati huo doctor anakua hajui mgojwa aliye ingia anaumwa nn..
Je umewahi kuingia kwa daktari ukamkuta kavaa mask???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe Dr anakuwa hajavaa mask kwa sababu anakuwa hajui kama yupo na mgonjwa wa TB!! Vipi kama akishajua, anaendelea kukaa hivyo hivyo kama ulivyosema huko awali. Mi naona unaanza kuzipinga kauli zako indirectly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komaa hayo ndiyo maisha, kama kila mtu humu angetoa story yake ya kimaisha hiyo yako mbona cha mtoto.

Afu unampatia ze wife ujauzito wakati we ni mgonjwa, eeee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…