Naomba msaada juu ya salary scales hizi

Naomba msaada juu ya salary scales hizi

Song'ito

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
348
Reaction score
150
Habari wakuu!!

Kuna sehemu nanyemelea kupata kazi na ni mbili tofauti,

moja ni kwa mkemia mkuu na ingine ni tanzania public service college dar ess salaam.

Naoma Mnisaidie kujua kianzio cha mshahara kwa scala GCS. 7 (mkemia mkuu) na PHTS 13 - 14 (kwa tanzania public service college)

natanguliza shukrani sana
 
Nenda iyo ya College ndo inascale kubwa kuliko iyo ya mkemia apo nikaribu na 1.5M
 
Kumbe umepata kwengine!!,, ngoja huku tukuondoe.. tunashkuru kwa ushirikiano wako
 
hiyo ya PHTS 13-14 inaanza na basic salary ya 1.9 milions. hiyo ingine sijui
 
Songíto;6064868 said:
asante chief pamoja sana

PHTS 13-14 Ni zaidi ya 2.2m wakati hiyo nyingine ni kama shs 1.2/m
 
Mkuu naomba tuwasiliane wewe uchukue moja na mimi niachie moja
 
PHTS 13-14 Ni zaidi ya 2.2m wakati hiyo nyingine ni kama shs 1.2/m

Kwa serikalini kazi yenye mshahara mdogo ndiyo yenye malupulupu makubwa achilia mbali kujilipia
 
nauliza tu? hivi hairuhusiw kuwauliza hao waajiri wako watarajiwa? maana kama scale unaijua ni suala la kuuliza tu au unaogopa utaonekana umekaa kifedha zaidi? hizi info za kijiwe virtual sio reliable sana watu wanatoa hear says tu....
 
Back
Top Bottom