Habari ,Naomba mwenye Wimbo wa Dark Master "Nimepamisi Home" aniwekee link ya kuupata au anisaidie jinsi ya kuupata ninahitaji kuwa nao kwa library....Asanteni.
Naam!... haswaa kabisa, poleni wanajamvi
Na pia mwenye link na anaye kumbuka
kibao Cha Sarafina Kilichopigwa na
bendi ya muziki ya T.O.T Plus, nnamwomba
na mimi anitumie link au hata akiweza upload
basi itakuwa ni vizur zaidi...
Maana Nime google sema xijapata link yenye kuniwezesha ku ushusha wimbo huo....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.