Naomba msaada jinsi ya Kununua luku kwa M Pesa

nickvalerion2810

Senior Member
Mar 31, 2015
112
36
Najaribu kununua umeme kwa MPESA na katika menu inadai Enter Account number...Nimejaribu kuingiza meter number na hata account number lkn inaniletea message baadaye kuwa the bill number doesnt match the third party authentification. Naomba msaada wenu wadau
 
Ni net haikosawa jaribu Mara nyingi hata mimi imenizingua lakin baadae imekaa njema
 
Mkuu kuna tatizo kwenye mfumo wa luku kupitia mpesa,mie nimenunua tangu jana jioni mpaka leo hakuna meseji yoyote na nilipowapigia ili nijue why pesa imekatwa na token sizioni nikakutana na ujumbe kwamba wanamatatizo kwenye ununuzi wa luku.piga no hii kupata uthibitisho voda100
 
nami pia tangu jana saa kumi jioni nlinunua umeme kupitia mpesa....mpaka sasa sijaona jibu lolote na token hawajatuma......
 
Back
Top Bottom