MBUNICHA
Member
- Dec 19, 2012
- 15
- 1
Mwenye ujuzi jins ya kuipata simu yangu Huawei Y210 nahisi nimeidondosha mahali au imeokotwa na mtu alookota hajui chochote coz up 2 now simu iko hewan ila haipokelewi.
Hapa nisaidie hata kwa application yoyote inayoweza kunisaidia kuipata simu yangu. Haina Ant theft wala security yoyote zaid ya system.
Msaada wa haraka unahitajika.
Hapa nisaidie hata kwa application yoyote inayoweza kunisaidia kuipata simu yangu. Haina Ant theft wala security yoyote zaid ya system.
Msaada wa haraka unahitajika.