Naomba msaada jinsi ya kuanzisha website

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
183
Wadau nataka kufungua website nifanyeje? na je kuna host wa bure kabisa?
 
Mkuu, unaposema kuwa unataka kufungua website na kisha ujui cha kufanya, kidogo inaleta utata. Anyway host za bure zipo just googling online.

Au kwa kukusaidia gonga HAPA
 
Na mm sikumuelewa anasema anataka kuazisha website lakini nadhani anataka kujifunza jinsi ya kutengeza website yake. Kwa kuongezea kwenye maelezo yako

Unaweza kujifunza kwa vitendo kwa kutumia host wa bure kama

Vile vile unaweza kutengeza website kwa kuisntall WAMP au XAMP kwenye mashine yako. ukimaliza unahamishia kwenye Websever ya online

material ya kujifunza zipo nyingi online google na youtube

My best training video zipo ni za lynda.com Web + Interactive Training & Tutorials. Kama una bandwidth yakutosha basi unaweza kuzidowload kwenye toretnt site "maarufu"

kama tayari unajua mambo ya web prgramming kidogo basi unaweza kutengeza web yako
kutumia CMS kama

  • Joomla - Joomla! hii ni verypowerful

Utakachofanya ukiistall wordpress au joomla kwenye websierv ni kufanya customisation. Mfano kwenye kujifunza hii ni website nimetengeza kwa utumia CMS ya wordpress teknohama-Bongo -

good luck
 
we mkali. nitalifanyia kazi hili darasa
 
Bure hazieleweki mkuu sijui kama zitakupa unachokitaka,nyingi za bure ni trials. labda ukitaka kufungua kama page fb au group fb otherwise hostlers wa bure nitakudanganya!
 
Vile vile unaweza kutengeza website kwa kuisntall WAMP au XAMP kwenye mashine yako. ukimaliza unahamishia kwenye Websever ya online

Mkuu WAMP na XAMP Ni nini? unaweza kutoa darasa kidogo? zina tofauti gani?
Nitazipata wapi?
 
Mkuu wamp na XAMP ni platform au msingi ambao juu yake ndio tovuti zinakaa.

Kwa maelezo ya kitaalam soma WAMP - Wikipedia, the free encyclopedia na unaweza ku google pia.

Na zote ni Open source
wamp ikamate hapa Install PHP 5 Apache MySQL on Windows : WampServer
xamp ikamate hapa apache friends - xampp

WAMP = Windows+ Apache+ MySQL+ PHP
XAMP= Windows/Linux/Mac+ Apache+ MySQL+ PHP

Microsoft wana mbadala wao au mshindani wa Apache webserver anaitwa IIS.
 
Badala ya wamp na xamp waweza pia kutumia easyphp3.0

Lakini inategemea unataka kuanzisha website ya kitu gani haswa... Is it a personal web!? An application web?? A blog!?
 
Mkuu wamp na XAMP ni platform au msingi ambao juu yake ndio tovuti zinakaa.

Kwa maelezo ya kitaalam soma WAMP - Wikipedia, the free encyclopedia na unaweza ku google pia.

Na zote ni Open source
wamp ikamate hapa Install PHP 5 Apache MySQL on Windows : WampServer
xamp ikamate hapa apache friends - xampp

WAMP = Windows+ Apache+ MySQL+ PHP
XAMP= Windows/Linux/Mac+ Apache+ MySQL+ PHP

Microsoft wana mbadala wao au mshindani wa Apache webserver anaitwa IIS.

shukran sana umenifungua macho nilikuwa na kosa majibu mda mrefu sana
 
Mkuu wamp na XAMP ni platform au msingi ambao juu yake ndio tovuti zinakaa.

Kwa maelezo ya kitaalam soma WAMP - Wikipedia, the free encyclopedia na unaweza ku google pia.

Na zote ni Open source
wamp ikamate hapa Install PHP 5 Apache MySQL on Windows : WampServer
xamp ikamate hapa apache friends - xampp

WAMP = Windows+ Apache+ MySQL+ PHP
XAMP= Windows/Linux/Mac+ Apache+ MySQL+ PHP

Microsoft wana mbadala wao au mshindani wa Apache webserver anaitwa IIS.
Many thanks. Nitakutafuta kwa ajili ya darasa zaidi.
 
jamani labda mi sijui but nyie munamfundisha kutengeneza blogs na forums na si website. Kama we ni beginers best website creator ni
webs.com

utakuta ushaaandaliwa template na kila kitu we utatumia knowledge ndogo tu ya html no php no mysql

kwa kukusaidia tena kaka kuna website inaitwa w3schools.com wanafundisha bureee language za kutengennezea website na wanatoa hadi certificate na diploma online kwa kufanya exams zao
 
jamani labda mi sijui but nyie munamfundisha kutengeneza blogs na forums na si website. Kama we ni beginers best website creator ni webs.com...................

Technically kwani tofauti kati ya blog forum na website ni nini kiongozi ?
 
Back
Top Bottom