Naomba msaada jinsi ya kuanzisha website

People, it's best nikushauri uanze kujifunza from HTML Introduction to Examples files. STRONGLY RECOMMENDED!
 
Technically kwani tofauti kati ya blog forum na website ni nini kiongozi ?
dah! Umenisaidia kuuliza ngoja nisikilizie majibu.ila na mie naongezea. Nini maana ya hosting,server,domain, pia kwann mtu anafungua website na sio blog ambazo ni bure.wataalamu ninaomba mtupatie somo kwa nukta ili tuelewane.isije mkawa mnatoa somo but wanafunzi hatuja nasa hata moja.
 
Majibu ya maswali yako unaweza kuyapata trough google. lakini nitajitahidi kutoa maelezo na link

  • Hosting. Just soma maana ya nen hsoting kwenye dictionary hapa Hosting | Define Hosting at Dictionary.com. Sasa kwenye IT kuhusu hosting nyingi depending on context . common hosting terminology ni hosting website. Kwa maana ni wapu au ni kampuni gani ambao wamehifadhi mafaili ya tovuti fulani.
eg - blog zote zinazotumia domain ya blogspot.com kama issamichuzi ziko hosted kwenye server za google ambazo ziko USA California
-tovuti mfano jamiiforums.com iko hosted kwenye server ziko washington Seattle.

So hositing kwa IT kwa lugha nyepesi ni mahali file za tovuti au information fulani zilipohifadhiwa.

  • Server. chukilia maana halisi ya neno server . server maana yake kuhudumia.au kufanya kazi fulani dedicated. Zipo server za aina nyingi lakini zote jukumu lake ni kujibu /reply request za client/mteja. kuna Database server , web server , application server , FTP server , streaming server,Print server, etc

NB kuna watu wanadhani server ni hardware. ukweli ni kuwa server ni software. Ukiinstall kwenye laptop MySQL, tayari laptop inaweza kuwa database sever. Ukiisntall WAMP kwenye laptop basi inauwa ni webserver. Hardware zinaongeza perfomance lakini ni software i iliyokuwa installed installed kwenye mashine ndo zina uwezo wa kutambulisha ni aina gani ya server. Huwezi kutambua aina ya server kwa sura au macho tu.

chungulia hapa What is server (file server, print server...)? A Technology Definition From Webopedia.com

Vile vile sio kwamba blog lazima iwe bure unaweza kuwa na blog ambayo iko hosted kwenye server za kulipia na iko registered kwa fully qualified domain name. Mfano wa blog ambazo sio za bure ni U Turn Blog. Na si sio kwamba tovuti zote lazima ulipie zipo za bure mfano ni hii tovuti katika kujifunza nimetengeza kwenye host wa bure na subdomain bure. teknohama-Bongo -.

Kifupi hakuna tofauti kubwa kati ya webste na blog . tofauti ndogo iliypo ni presentation ya content. Mfano website tend to be formal while blogs sometime ziko infomal zinatumia hata informal language. Unaweza ku google neno "diffrence betweeen blog and website" kwa maelezo zaidi

Nadhani niimefafanua baadghi ya maswali na hope umeelewa.na wataalmu wengine wataongeza au kupunuza na kunisahihisha nilipoosea
 
kama wewe lengo lako ni kufungua tu website na si kujifunza languge za HTML,XML,PHP,DTD,usipate shida kuna software kibao online ambazo zinachapa code zenyewe we utakuwa unafanya selection ya vitu unavyotaka na yenyewe inakamilisha kisha tafuta host sever u upload page zako.ila kama unataka kufahamu language inayotumika kutengeneza page,NO WAY OUT u have to go to class no matter online or else where,html code isnt smthng to know over night u have to put your belt up!just visit online classes as the previous member suggest but if u want any assistance just check m to this 0657115587,i will assist u!
 
mtazamaji nimekupa haki yako kwa maelezo mazuri. najua mimi nauliza ila wengi tunanufaika. labda niulize la mwisho. mtu anapo fungua website au blog. tofauti na kujitangaza kunafaida gani ingine ambayo inatufanya kila mtu awe na blog. maana sasahivi ni watu wengi sana ambao wanamiliki website.
 
kama wewe lengo lako ni kufungua tu website na si kujifunza languge za HTML,XML,PHP,DTD,usipate shida kuna software kibao online ambazo zinachapa code zenyewe we utakuwa unafanya selection ya vitu unavyotaka na yenyewe inakamilisha kisha tafuta host sever u upload page zako.ila kama unataka kufahamu language inayotumika kutengeneza page,NO WAY OUT u have to go to class no matter online or else where,html code isnt smthng to know over night u have to put your belt up!just visit online classes as the previous member suggest but if u want any assistance just check m to this 0657115587,i will assist u!
asante mkuu nimekupata
 
Mkuu wamp na XAMP ni platform au msingi ambao juu yake ndio tovuti zinakaa.

Kwa maelezo ya kitaalam soma WAMP - Wikipedia, the free encyclopedia na unaweza ku google pia.

Na zote ni Open source
wamp ikamate hapa Install PHP 5 Apache MySQL on Windows : WampServer
xamp ikamate hapa apache friends - xampp

WAMP = Windows+ Apache+ MySQL+ PHP
XAMP= Windows/Linux/Mac+ Apache+ MySQL+ PHP

Microsoft wana mbadala wao au mshindani wa Apache webserver anaitwa IIS.

Kamanda hebu nisaidie kidogo hapa najifundisha mwenyewe kutengeneza website kwa kutumia hii XAMP ila nimeweza kuweka text kama kawaida tatilo lipo hapa napotaka kuweka image ya aina yoyote iwe gif, swf au jpeg napata ujumbe huu Error, "Failed to upload file, internal error..." nimejaribu kugoogle lakini naona kama sipati direct solution ya hii error
 
Kuhusu website control panel ,je cpanel inaweza kutumika kumanage MS sql server database ? . What exactly is wordpress?
 
Kamanda hebu nisaidie kidogo hapa najifundisha mwenyewe kutengeneza website kwa kutumia hii XAMP ila nimeweza kuweka text kama kawaida tatilo lipo hapa napotaka kuweka image ya aina yoyote iwe gif, swf au jpeg napata ujumbe huu Error, "Failed to upload file, internal error..." nimejaribu kugoogle lakini naona kama sipati direct solution ya hii error

mhhh mkuu sijakupata vizuri. ebu toa details hizi

  • path ya kwenye computer ilipo image hiyo ikoje eg c: document and settings / images/nevergiveup.jpg
  • Codes ambayo inaaagiza HTML ikachukue image iikoje eg <img src="c: document and settings / images/nevergiveup.jpg" alt="some_text"/>

Kama hujaelewa maswali yangu tuwekee HTML source code za huo ukurasa wako wa majaribio. Kwa Firefox chagua page source. Then copy alafu u paste hapa hizo code

Otherwise soma syntax, na attributes zote za image hapa Kuingiza picha kwenye HTML .
 
->PATH Ni C:\Documents and Settings\All Users\Documents\My Pictures\untitled.jpeg
->Kuhusu codes mimi niliingia direct kwenye ''http://localhost/modx/modx-1.0.2/manager'' yani control panel yake alafu nika-click option ya insert image ktk toolbar
->later nitakuwekea html code maana hapa power haiko machine imezima natumia mobile
 
Basi mkuu huna haja ya kuweka code nilidhani ni kuattach picha kwa kutumia html codes tu kumbe kuna application unatumia ya modX. sijatumia hii applcation laini huo ujumbe utakuwa ni ama sio tatizo la path basi ni tatizo la acesss right ya folder fulani fulani.

Sasa sijui utakuwa umejaribu options gani amabzo hazijafanikiwa
katika u google ulikutana na hizi
 
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeebwana nashukurusana wadau kwa kutusaidia sisis darasa la 7 tunajifunza sana nilikuwa sijui kufungua website
 
nime ipenda sana wadu ...... zaidi ni kwamba kwa kutumia hizi PLATFORM unaweza kutengeneza website, zenye mahusiano na database kwa urahisi zaidi....... Zina saidia sana kurahisisha kazi
 
Na mm sikumuelewa anasema anataka kuazisha website lakini nadhani anataka kujifunza jinsi ya kutengeza website yake. Kwa kuongezea kwenye maelezo yako

Unaweza kujifunza kwa vitendo kwa kutumia host wa bure kama

Vile vile unaweza kutengeza website kwa kuisntall WAMP au XAMP kwenye mashine yako. ukimaliza unahamishia kwenye Websever ya online

material ya kujifunza zipo nyingi online google na youtube

My best training video zipo ni za lynda.com Web + Interactive Training & Tutorials. Kama una bandwidth yakutosha basi unaweza kuzidowload kwenye toretnt site "maarufu"

kama tayari unajua mambo ya web prgramming kidogo basi unaweza kutengeza web yako
kutumia CMS kama

  • Joomla - Joomla! hii ni verypowerful

Utakachofanya ukiistall wordpress au joomla kwenye websierv ni kufanya customisation. Mfano kwenye kujifunza hii ni website nimetengeza kwa utumia CMS ya wordpress teknohama-Bongo -

good luck

sasa ni mesha insalliting wordprees niendeleeje huko mbele
 
Mtazamaji ikiwa kuwa na blog ni free na website unailipia,kwa nini watu wengi serious wanatumia website badala ya blog??

pia kama inawezekana kunishauri,nataka niingie kwenye biashara ya utoaji habari kupitia mtandao,,ni kipi nifungue kati ya blog na website?
ukiondoa idadi ya viewers ni kipi kinawavutia wadhamini kukupa tangazo kwa urahisi??

cc Money Stunna Makirita Amani
 
Last edited by a moderator:

mkuu Stv Mkn sijui kama unajua tofauti kati ya website na blog, kuanzia hapo ndio inakuwa rahisi kukujibu swali lako la kwanza

jibu la swali la pili: ukiondoa viewers, pia wadhamini huangalia mlengo wa website yenyewe(dini, muziki, vijana, ngono, habari, michezo, ) mfano ukiangalia alexa utaona rahatupu blog ipo among top 10 za hapa tanzania lakini kuna mdhami9ni gani atataka kuweka tangazo hapo
 
Last edited by a moderator:
mhhh mkuu sijakupata vizuri. ebu toa details hizi

  • path ya kwenye computer ilipo image hiyo ikoje eg c: document and settings / images/nevergiveup.jpg
  • Codes ambayo inaaagiza HTML ikachukue image iikoje eg <img src="c: document and settings / images/nevergiveup.jpg" alt="some_text"/>

Kama hujaelewa maswali yangu tuwekee HTML source code za huo ukurasa wako wa majaribio. Kwa Firefox chagua page source. Then copy alafu u paste hapa hizo code

Otherwise soma syntax, na attributes zote za image hapa Kuingiza picha kwenye HTML .
mkuu Mtazamaji broken link alert ----> Tazama michezo live katika gym nayotumia kukuzia misuli ya IT- http://teknohama.x10.mx/live-sports/
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom