Naomba msaada jinsi ya kuanzisha website

Bure hazieleweki mkuu sijui kama zitakupa unachokitaka,nyingi za bure ni trials. labda ukitaka kufungua kama page fb au group fb otherwise hostlers wa bure nitakudanganya!

Hata mimi nakuunga mkono genekai huwa hosting za bure zina URL ndefu halafu hazi reflect na domain name unayotaka au saa nyingine wanaweka popup ads nyingi
 
Last edited by a moderator:
Mtazamaji ikiwa kuwa na blog ni free na website unailipia,kwa nini watu wengi serious wanatumia website badala ya blog??

pia kama inawezekana kunishauri,nataka niingie kwenye biashara ya utoaji habari kupitia mtandao,,ni kipi nifungue kati ya blog na website?
ukiondoa idadi ya viewers ni kipi kinawavutia wadhamini kukupa tangazo kwa urahisi??


cc Money Stunna Makirita Amani

ata blog zinalipa cha muhimu kwanza uwe unaweka habari mara kwa mara kila siku pia ujitangaze upate watembeleaji wengi.

kuna mdada Nigeria Linda Ikeji ana blog tu na anaingiza US Dollar 40,000 kwa mwezi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom