Naomba msaada jinsi ya ku update Huawei y530

Naomba msaada jinsi ya ku update Huawei y530

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Habari wadau,

huawei yangu upande wa playstore inanionesha kuna application zinataka update ila nikijaribu kuupdate inaniambia insuffient storage available na nikiingia manage application naona kuna free mb zakutosha sana.

Naomben msaada kama.naeweza kuupdate hizo application.
 
Habar wadau..huawei yangu upande wa playstore inanionesha kuna application zinataka update ila nikijaribu kuupdate inaniambia insuffient storage available na nikiingia manage application naona kuna free mb zakutosha sana. Naomben msaada kama.naeweza kuupdate hizo application
  • Badili default storage na kuwa SD Card
  • Gusa SETTINGS > Gusa STORAGE > Gusa DEFAULT STORAGE LOCATION > Chagua SD CARD
  • KARIBU
 
Ndugu nmejaribu kufanya hivyo lakin bado tatizo hilo linaendelea
 
unaweza kupunguza app moja halafu ukaendelea na update au ukitaka update nusunusu usichague update all
 
Back
Top Bottom