Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,192
- 1,315
Habari ndugu zangu, kama title inavyojieza naomba msaada wa ku update samsung j5 prime android 6.0.1 to current version ya android.
Before niliangalia youtube jinsi ya kuupdate nikakwama kwenye kuilipia hiyo software ya ku update. Natanguliza shukran
Before niliangalia youtube jinsi ya kuupdate nikakwama kwenye kuilipia hiyo software ya ku update. Natanguliza shukran