jaman kwa wataalamu wa huawei g 510 ninapata tatizo kwenye kudownload file,nime install opera lkn wapi?inadownload ikikaribia na mwisho ina fail,sasa sijui ni nn?naombeni msaada jamani
jaman kwa wataalamu wa huawei g 510 ninapata tatizo kwenye kudownload file,nime install opera lkn wapi?inadownload ikikaribia na mwisho ina fail,sasa sijui ni nn?naombeni msaada jamani
Tatizo apa ni kwamba opera min siyo stahimilivu ku download file hasa net ikiwa haiko stable sana. Lakin hii opera ni nzuri sana ku chat hata net ikiwa low inausthimilvu katika hili.
So muda mwing kma ukitumia hii huwa file linafail na pia resuming yake haipo, when u campare with uc browser, boat browser, one browser na zingine kibao.
Kwaio mata apa sio file au content yake bt browser ilivyo.