Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,190
- 1,324
Jambo wakuu,
Nina email ya yahoo ya mda mrefu tu na nilikua naweza kuifungua kwenye laptop, simu na tablet. Imeanza majanga eti kwenye simu na tablet haifunguki. Nikijaribu wananambia iko blocked mpaka nikaifungue kwenye desktop Nitumie mbinu gani jamani iwe kama zamani.