The Nyongo Society is the name of a supposed group of witches believed to exist in Cameroon. The legends were first written about in the 1950s by British social anthropologist, Edwin Ardener, while describing what he called the Nyongo Terror in the present-day Southwest Province in Cameroon. Today the belief in this society can be found from the coast of Cameroon to the Bakossi and Beti peoples in the interior of the country. It is even found amongst the northern parts of the country with the Bamileke and Bamenda peoples.
Habari za maisha ndugu zanguni.
Naomba Kwa mtu au mtaalamu yeyoye anaeweza kinisaidia matibabu au dawa ya mawe kwenye nyongo bila upasuaji.
Nina mgonjwa wangu,ameenda hospitali amepewa dawa lkn Dakatari Kwa uzoefu wake amesema dawa zinaweza zisifanye kazi,hivyo njia nyingine ni kufanyiwa...
Jimbo la Maswa Mashariki, kuhusu kutorudishwa kwa aliyekuwa Mbunge Stanslaus Nyongo kuwania tena ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kurudi kwa jina la Dkt. George Lugomela.
Baadhi ya sababu zinazodaiwa kuchangia kutorudi kwa Nyongo ni:
Mapambano ya kisiasa ya ndani ya chama (CCM) –...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Haroon Nyongo, amechukua na kurejesha fomu ya kugombea ubunge kwa mara nyingine katika Jimbo la Maswa Mashariki, mkoani Simiyu.
Hatua hiyo inaashiria dhamira ya kuendelea kulitumikia jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.