Naomba msaada;Archtecture vs quantity surveyor

Naomba msaada;Archtecture vs quantity surveyor

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
2,291
Reaction score
799
Tuweke ushabiki kandoo.. Nataka kujua nani ana mzidi mwenzake haswa katika nyanja zifuatazo;
1. Marketability
2.payment
3. Allowances.
Pia nataka kujua baada ya kuchora ramani archtecture anakuwa anafanya nini wakati ujenzi unaendelea? Na je? Quantity Surveyor akishafanya bills of quantity anafanya nini zaidi?

thanks in advance team ARDHI.
 
Kimsingi baada ya michoro archtecture hugeuka kuwa consultant wa mradi, vivyo hivyo Qs naye hugeuka kuwa consultant wa mradi kuhakiki material aliyopendekeza yanatumika.

Kuhusu mapato hutegemea na mtu alivyoji brand
 
Architect ni bosi kwa huyo Qs
Mkuu hizi ni kazi 2 tofauti japo Qs anategemea michoro iliyochorwa na archtect ili afanye makadirio lakini haitoi uhalali kusema Qs yuko chini ya Archtect.
Wote hawa wako chini ya AQRB lakini vitengo vyao vinajitegemea na wote wanatakiwa kuwepo kwenye sign board ya mradi.
Asipokuwepo mmoja huo mradi haujakidhi viwango
 
Back
Top Bottom