naomba msaad

dundula

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
539
138
Wadau polen na majukum, kuna jamaa zangu wapo pemben kdg ila wameniomba niwajulishe km TRA na NSSF wameishaita wa2 kazin.Naomba mwenye taarifa sahihi anijulishe
 
Bado watu hawajaitwa kazini, NSSF usaili wa mwisho umefanyika wiki iliyopita.
 
kuna waliofanyiwa usaili week iliyopita sasa cjajua wao wanauliza usaili upi ila kuna mwingine pia unatarajiwa kufanyika wangekuambia exactly usaili upi wanauulizia
 
kuna waliofanyiwa usaili week iliyopita sasa cjajua wao wanauliza usaili upi ila kuna mwingine pia unatarajiwa kufanyika wangekuambia exactly usaili upi wanauulizia
Kwan ni usaili gani unaotarajiwa kufanyika?nijulishe boss wangu
 
Back
Top Bottom