Naomba Mrejesho Kuhusu Mabillion waliyopaswa kulipwa Mwana FA na AY! Dhidi ya Tigo tz

kimdundulusi

Member
Aug 11, 2017
20
43
Wakuu habari za mida hii,

Najua wengi mmechoka na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta mkate wakila siku, huku Nchi ikiwa na vituko visivyoisha kila kukicha. Lakini mnashukuru siku zinakwenda.

Samahani kama ntakuwa nimeingilia habari zinazotrend nchini hivi sasa hasa hii ya kuachiwa kwa Dkt Luis. Na kinachoendelea huko Zimbabwe.

Naomba kuuliza hivi watajwa hapo juu wameshalipwa ule mtonyo kama ilivyoamriwa na Mahakama kuu (rufani) dhidi ya Kampuni ya Tgo.? Au ndo wameamua kuupokea kimya



[HASHTAG]#Unapo[/HASHTAG] Hamia Pahala unahitaji Pahala Pa Kukaa.
 
Nikisikia habari yeyote ya Dr. Shika lazima nicheke kwanza...huyo Mzee Mungu ampe maisha marefu ameweza ziba pengo la marehemu Mtikila r.I.p 2020 sijui atajiunga na chama gani
 
Back
Top Bottom