figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,924
- 63,649
mkuu yenu bar ipo mwenge au ubungo?. labda ungeedit kidogo!. yenu bar ninayo ifahamu ipo mbele ya kituo cha daladala pale ubungo terminal. mia
pita mbali na simu yangu.kwani mnywaji wa gongo ni nani zaidi ya lwakatare jambazi aliyeihujumu cuf
Baadhi ya wagonjwa wa UKIMWI wana kasumba ya kutokubali kwamba wanaumwa Ukimwi, na huu ndio huwa mwanzo wa mwisho wao, maana bora wangekubali wakanywa dawa za kurefusha maisha wangeweza kuishi muda kidogo kulinganisha na juhudi zao za kukataa kwamba wameathirika.
Ndivyo ambavyo chama nilichodhani kingekuwa chama mbadala ya CCM iliyochoka kingekuwa, yaani CHADEMA. Bahati mbaya sana Chadema kama mgonjwa wa UKimwi asiyetaka kukubali kwamba ameathirika badala yake anabaki kuamini kuwa KAROGWA ndio mwanzo wa mwisho wa Chadema!
Hata kama viongozi wa Chama hichi walikimbia shule wengi na wengine shule zao za magumashi ,inahitaji degree ngapi kujifunza kukubali ukweli hata kama unauma? Ugonjwa huu wa kukataa kwamba unaumwa wakati unaumwa na kudhani unarogwa utakizika Chama hichi kilichoanza kuonyesha matumaini...na hapa CCM na wapambe wao watakuwa wamefanikiwa sana.
Hivi inahitaji degree ngapi kujua kuwa Rwakatare ambaye siasa zake za upinzani alianzia CUF na wakati huo CUF ilikuwa na tabia zinazoonekana leo CHADEMA? Wakati CUF ikiwa na Rwakatare ndo ilikuwa chanzo cha vurugu za kisiasa nchini,mara kuingiza visu, mara majambia, mara maandamano, mara watu kuuawa na wengine kupoteza viungo vya miili yao!! Sasa Rwakatare huyuhuyu yuko Chadema leo, Chadema wameiga tabia zilezile zilizowamaliza CUF na wakadhani Chadema wao watakuwa na muujiza wa kuishi.
Dawa hapa nikujua mmeteleza na kuamka sio unateleza unabaki chini unalalamika!!
wekeni simu zenu vizuri kibaka kaingiakwani mnywaji wa gongo ni nani zaidi ya lwakatare jambazi aliyeihujumu cuf

mkuu zumbemkuu huyu anakwapua simu huko lumumba sio mchezopita mbali na simu yangu.
Anza kujikubali mwenyewe kwanza umeathirika! Unatuletea cooked story za CUF na visu na majambia na producer wenu Mahita. Watz wa leo sio wa 1947, kwanini mnawafanya Watz wajinga? Kaondoe hao funza kichwani kwanza!Baadhi ya wagonjwa wa UKIMWI wana kasumba ya kutokubali kwamba wanaumwa Ukimwi, na huu ndio huwa mwanzo wa mwisho wao, maana bora wangekubali wakanywa dawa za kurefusha maisha wangeweza kuishi muda kidogo kulinganisha na juhudi zao za kukataa kwamba wameathirika.
Ndivyo ambavyo chama nilichodhani kingekuwa chama mbadala ya CCM iliyochoka kingekuwa, yaani CHADEMA. Bahati mbaya sana Chadema kama mgonjwa wa UKimwi asiyetaka kukubali kwamba ameathirika badala yake anabaki kuamini kuwa KAROGWA ndio mwanzo wa mwisho wa Chadema!
Hata kama viongozi wa Chama hichi walikimbia shule wengi na wengine shule zao za magumashi ,inahitaji degree ngapi kujifunza kukubali ukweli hata kama unauma? Ugonjwa huu wa kukataa kwamba unaumwa wakati unaumwa na kudhani unarogwa utakizika Chama hichi kilichoanza kuonyesha matumaini...na hapa CCM na wapambe wao watakuwa wamefanikiwa sana.
Hivi inahitaji degree ngapi kujua kuwa Rwakatare ambaye siasa zake za upinzani alianzia CUF na wakati huo CUF ilikuwa na tabia zinazoonekana leo CHADEMA? Wakati CUF ikiwa na Rwakatare ndo ilikuwa chanzo cha vurugu za kisiasa nchini,mara kuingiza visu, mara majambia, mara maandamano, mara watu kuuawa na wengine kupoteza viungo vya miili yao!! Sasa Rwakatare huyuhuyu yuko Chadema leo, Chadema wameiga tabia zilezile zilizowamaliza CUF na wakadhani Chadema wao watakuwa na muujiza wa kuishi.
Dawa hapa nikujua mmeteleza na kuamka sio unateleza unabaki chini unalalamika!!
Baadhi ya wagonjwa wa UKIMWI wana kasumba ya kutokubali kwamba wanaumwa Ukimwi, na huu ndio huwa mwanzo wa mwisho wao, maana bora wangekubali wakanywa dawa za kurefusha maisha wangeweza kuishi muda kidogo kulinganisha na juhudi zao za kukataa kwamba wameathirika.
Ndivyo ambavyo chama nilichodhani kingekuwa chama mbadala ya CCM iliyochoka kingekuwa, yaani CHADEMA. Bahati mbaya sana Chadema kama mgonjwa wa UKimwi asiyetaka kukubali kwamba ameathirika badala yake anabaki kuamini kuwa KAROGWA ndio mwanzo wa mwisho wa Chadema!
Hata kama viongozi wa Chama hichi walikimbia shule wengi na wengine shule zao za magumashi ,inahitaji degree ngapi kujifunza kukubali ukweli hata kama unauma? Ugonjwa huu wa kukataa kwamba unaumwa wakati unaumwa na kudhani unarogwa utakizika Chama hichi kilichoanza kuonyesha matumaini...na hapa CCM na wapambe wao watakuwa wamefanikiwa sana.
Hivi inahitaji degree ngapi kujua kuwa Rwakatare ambaye siasa zake za upinzani alianzia CUF na wakati huo CUF ilikuwa na tabia zinazoonekana leo CHADEMA? Wakati CUF ikiwa na Rwakatare ndo ilikuwa chanzo cha vurugu za kisiasa nchini,mara kuingiza visu, mara majambia, mara maandamano, mara watu kuuawa na wengine kupoteza viungo vya miili yao!! Sasa Rwakatare huyuhuyu yuko Chadema leo, Chadema wameiga tabia zilezile zilizowamaliza CUF na wakadhani Chadema wao watakuwa na muujiza wa kuishi.
Dawa hapa nikujua mmeteleza na kuamka sio unateleza unabaki chini unalalamika!!
hii kesi inaenda mahakamani halafu wewe unataka kuleta ushahidi wa kwenye vilabu vya gongo. Watanzania bana.
kwani mnywaji wa gongo ni nani zaidi ya lwakatare jambazi aliyeihujumu cuf
wekeni simu zenu vizuri kibaka kaingia
Sijawahi kuona Chadema wamechanganyikiwa kiasi hiki, Katibu Mkuu kusema Mbowe kaona haitoshi kusema pia, lissu kasema, prof safari naye kasema. Gazeti la Tanzania Daima linapika stori Mara Afya ya Lwakatare hatarini. Wewe kuonyesha umevurugikiwa kabisa unaomba namba ya simu JF badala ya Chadema. Kwa kuchanganyikiwa huku lazima kuna namna wakuu wa CDM wanahusika na mipango ya kuteka na kujeruhi, bahati mbaya dc wa igunga mlimkamata mchana ingekuwa usiku mngemng'oa kucha na jicho kama Kibanda. Mara Slaa Anasema kuna mgawanyiko TISS du.
Sijawahi kuona Chadema
wamechanganyikiwa kiasi hiki, Katibu Mkuu kusema Mbowe kaona haitoshi
kusema pia, lissu kasema, prof safari naye kasema. Gazeti la Tanzania
Daima linapika stori Mara Afya ya Lwakatare hatarini. Wewe kuonyesha
umevurugikiwa kabisa unaomba namba ya simu JF badala ya Chadema. Kwa
kuchanganyikiwa huku lazima kuna namna wakuu wa CDM wanahusika na
mipango ya kuteka na kujeruhi, bahati mbaya dc wa igunga mlimkamata
mchana ingekuwa usiku mngemng'oa kucha na jicho kama Kibanda. Mara Slaa
Anasema kuna mgawanyiko TISS du.
historia inaonyesha hata
pale mchawi anapokamatwa inakuwaga ngumu yeye kukiri.mwongo/mnafiki mpe
muda
Sijawahi kuona Chadema wamechanganyikiwa kiasi hiki, Katibu Mkuu kusema Mbowe kaona haitoshi kusema pia, lissu kasema, prof safari naye kasema. Gazeti la Tanzania Daima linapika stori Mara Afya ya Lwakatare hatarini. Wewe kuonyesha umevurugikiwa kabisa unaomba namba ya simu JF badala ya Chadema. Kwa kuchanganyikiwa huku lazima kuna namna wakuu wa CDM wanahusika na mipango ya kuteka na kujeruhi, bahati mbaya dc wa igunga mlimkamata mchana ingekuwa usiku mngemng'oa kucha na jicho kama Kibanda. Mara Slaa Anasema kuna mgawanyiko TISS du.
wizi wa simu umeacha? Najua kuwa Lwakatare ni mnywaji ila hajamfikia Benjamin Mkapa