Avatar yako jamaa yako huyo anatumiaga naye mmea? Mambo yake ya kifyokonoko sana huyo dogo.Aliwahi kuajiri mzinga kumtuliza mjomba wake kwa kupishana naye kwenye ushauri.Nasita kukubaliana na ushauri wako pia kwa jamaa.Bangi inalipa sana sema jpm analeta wivu tu
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Avatar yako jamaa yako huyo anatumiaga naye mmea? Mambo yake ya kifyokonoko sana huyo dogo.Aliwahi kuajiri mzinga kumtuliza mjomba wake kwa kupishana naye kwenye ushauri.Nasita kukubaliana na ushauri wako pia kwa jamaa.
JamiiForums imebadilika sana.Bangi inalipa sana sema jpm analeta wivu tu
Nikweli ndugu thesym watu hawako serious hata kidogo..JamiiForums imebadilika sana.
Tofauti na enzi zile hasa ili jukwaa.
Ubarikiwe ndugu..wasiwasi wangu juu ya mpunga ni naskia unahitaji uangalizi wakaribu sana..hasa ukizingatia kuna wale ndege...so itabidi nimuweke mtu kwa kazi hio na mtaji huo ni kidogo..Mi nakushauri ulime mpunga una soko sana hasa ukizingatia mchele wa mbeya huwa ni mzuri na bei yake huwa ya kuridhisha.
chukua ushaur katika hii ndoto yanguHabari za kutwa ndugu zangu..
Mimi nikijana niliemaliza chuo na sina ajira, nmejichanga kwa muda sasa, nimepata million 3, sasa nataka kuingia kwenye kilimo ninaishi mkoa wa Mbeya.
Nmefanya kautafiti kidogo nikaona kuna eneo wanafanya kilimo cha umwagiliaji ndani ya Mbeya, ila nashindwa kuamua nilime zao gani iliangalau nikuze mtaji wangu kwakiasi kikubwa kidogo, binafsi nikaona bora nilime Viazi au Mahindi..
VIAZI
Kwa utafiti wangu mdogo nmeskia hekari moja ya viazi inatoa gunia 70-90 na mara ya mwisho gunia 1 nliskia linauzwa 62,000/= Mbeya.
MAHINDI
Pia hekari moja ya Mahindi inatoa gunia hadi 30 kama kila hatua ikifanywa kwa usahihi bei kwa gunia bado sijaifahamu.
Sasa nawakaribisha ndugu zangu wana Jf mnishauri nilime nini kwa mtaji huo, inaweza ikawa ni kati ya mazao nliyoyataja au zao lingine linaloweza kunipa faida nzuri kwa kuuza ndani ya Mby au hata nje...
Pia naomba kujua naweza lima hekari ngapi kwa zao husika na kwa hako kamtaji kidogo...
natanguliza shukurani kwa ushauri wako
Ni zao gani hilo mkuu,, ushaur wako kuhus hilo zao ndio anaouhitaj zaid mtoa mada…!!chukua ushaur katika hii ndoto yangu
napenda sana kujihusisha na kilimo ila muda wangu nahisi bado,ila siku ya kulima ikifika nitalima zao ambalo litakuwa na sifa hizi
>liwe ni zao la muda mfupi
>sitalima kwa kutegemea mvua
>zao litakuwa ni chakula kwa binadamu maana soko kidogo litakuwa la uhakika kuliko ya biashara
>litakuwa ni zao ambalo govt intervation wakat wa scarcity wa hilo zao haitakuwa kubwa sana maana madhala yake huwa makubwa sana
>nitalima zao ambalo machoni mwa watu wengi litakuwa linaonekana kama la la kipuuzi na halina faida
Naipenda ndoto yako ndg Kimbauzi...tatizo ni zao lipi linajibu maswali hayochukua ushaur katika hii ndoto yangu
napenda sana kujihusisha na kilimo ila muda wangu nahisi bado,ila siku ya kulima ikifika nitalima zao ambalo litakuwa na sifa hizi
>liwe ni zao la muda mfupi
>sitalima kwa kutegemea mvua
>zao litakuwa ni chakula kwa binadamu maana soko kidogo litakuwa la uhakika kuliko ya biashara
>litakuwa ni zao ambalo govt intervation wakat wa scarcity wa hilo zao haitakuwa kubwa sana maana madhala yake huwa makubwa sana
>nitalima zao ambalo machoni mwa watu wengi litakuwa linaonekana kama la la kipuuzi na halina faida
Kulikuwa kuna jamaa anitwa Kubota angeweza kukupa mchanganuo, mi nimeangalia upande wa soko, ila uwangalizi wa karibu unahitajika haswaa kuepuka hasara na matarajio yanayokinzana kama unalima kwa kutumia "simu" inahitaji upate mtu mwaminifu wa kusimamia huo mradi.Ubarikiwe ndugu..wasiwasi wangu juu ya mpunga ni naskia unahitaji uangalizi wakaribu sana..hasa ukizingatia kuna wale ndege...so itabidi nimuweke mtu kwa kazi hio na mtaji huo ni kidogo..
Pia vipi naweza lima hekari ngapi kwa mtaji huo ndugu
Bei ya viazi inategemea na aina ya viazi unavyolima. Kwa sasa bei ya chini kabisa ni sh 50,000 kwa gunia likiwa shambani (kiazi aina ya Alika) na ya juu ni 75,000 (Tigo). Kila aina ya kiazi ina bei yake.Viazi shambani bei hushuka mpaka 30,000
....