Naomba Mnisaidie Wazoefu

Mimi mkuu humwachia tu hata iwe pete ya uchumba, kwasababu nilimpa wakati tukipendana. Kwahio sioni haja ya kumnyanganya, kuna siku akiviangalia moyo utamsuta au atanikumbuka tu. Kuachana sio ugomvi ila mnahitaji kurudi nyuma na kujua nini malengo ya maisha yenu. Zawadi sio kitu utu ndio kila kitu.[emoji111]



Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
kudai ni ushamba ulopitiliza! kwani uliombwa au ulikopesha?? umetoa zawadi mara unaidai mmmh ye akidai vyake utaweza rudisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…