Naomba Mnisaidie Wazoefu

Naomba Mnisaidie Wazoefu

Ulikuwa na Mpenzi, ndio mlikuwa pamoja kukidhi haja za kimwili japo hata hamkupendana Kihivo.

sasa katika uhusiano wenu labda kwa mfano mwanaume kuna vitu ulimpa huyo mwanamke je mkiachana kuna haja ya kudai vitu vyako? au labda ni kumwacha navyo tu.

nisaidieni maana sipati jibu katika hili!
Mimi mkuu humwachia tu hata iwe pete ya uchumba, kwasababu nilimpa wakati tukipendana. Kwahio sioni haja ya kumnyanganya, kuna siku akiviangalia moyo utamsuta au atanikumbuka tu. Kuachana sio ugomvi ila mnahitaji kurudi nyuma na kujua nini malengo ya maisha yenu. Zawadi sio kitu utu ndio kila kitu.



Ndukiiiii
 
kudai ni ushamba ulopitiliza! kwani uliombwa au ulikopesha?? umetoa zawadi mara unaidai mmmh ye akidai vyake utaweza rudisha
 
Back
Top Bottom