Naomba Mnisaidie Wazoefu

Kutoa huku sio utajiri bali ni sehemu ya negotiation.

Kutoa kuliko kwa KWELI kunamaanisha umeachilia hiko kitu moja kwa moja wala hutaki kukumbuka maana ulishatoa tayari.

Ila for self glorification (personal agenda), ndo watu wanakumbushia kumbushia. unajua nilikupa hiki na hiki au nategmea unikumbuke kwenye ufalme wako baadae maana bila mimi usingefika hapo n.k n.k

Otherwise; Giving (God's Agenda) is a rare privilege to reshape our destiny. But must be done with Humility knowing helping someone doesnt mean you are you better that him/her but you have the privilege to be on the giving side. Do it humbly and with thanksgiving

Muachie tu, siku zote kutoa ni moyo sio utajiri.
 
aisee mkiachana unamuachia tuu, nyumba, gari, meli, na hata sheli...ila unaweza dai roho yake
 
Nauliza hivi maana ni mara nyingi naona nyie ndiyo mnajiona mnautamu na mnautoa kwetu.
Wataalamu wanasema nyie ndio huwa mnapata zaidi kwani kila tendo nyie mnafika kileleni wakati kuna wanawake wako kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 10 na hawajawahi kufika kileleni hata siku moja.

Hilo ndilo linalofanya watu wahitimishe kuwa wanawake huwapa utamu wanaume.
 
Nafikiri basi wanatofautian.... Maana kuipima raha lazima uwe umezipata zote kisha upime ipi imezidi... Na hakuna mtu ambaye anaweza kuiingiza na kuingizwa per.

Ila kwa baadhi ya factor nyie mtakuwa mnaskia raha saana.

Kwanza,
1423dbce15594af24efd22aa3961d1dc.jpg

Cotton or ear?

Pili, clitoris na penis....clitoris kina nerves nyingi saana zaidi ya mara mbili zilizopo kwenye penis... Angalia ufanyaji mapenzi wa Ke na Me... Mwanamke anagugumia while mwanaume anahema..angalia kwa punda jike naye hugugumia huku anapanua mdomo while dume anakazana.

Tatu, orgasm ...nadhani utamu haupo kwenye kunaniii ila kile kipindi ndipo unananii hadi kuelekea kunanii ndiyo utamu wenyewe.. Wanaume orgasm yetu inakuja haraka. Na huwa tunaomba ichelewe kweli ili tuendeles kupata utamu... Ila yenu inachelewa na ukipata Me mzuri utajin'gata.
 
Aisee!....sikujua kama umebobea katika mambo haya! Itabidi nikutafute kwa muda wangu unipe hii elimu pendwa!
 
Hahaha karibia uanze na safari kabisa kabla ya kuja.
Nikipata safari sitaweza kukuelewa! Itabidi nipumzike kwanza kutumia safari katika kipindi chote cha hili somo pendwa!
 
Back
Top Bottom