Naomba Mnisaidie Wazoefu

Ahahahaa hamna bwana. Kwani hapa ni mchepuko au any relationship ambayo imeisha wakati wake[emoji23]
Kuna uzi upo jukwaa la wakubwa nimeona unatetea michepuko
 
Kuna wimbo mmoja wa mzee Yusuf anayaimba haya.

Kidume unaachwa unadai simu... Sema nimeusahau jina.
Kanunua simu kampa demu walivyoachana, kampokonya ×2

Wimbo unaitwa WAPAMBE MSITUJADILI by ISSA KIJOTI
 
Ukitaka simu,sijui kodi samani za ndani nk
nakuwekea dyaba ujaze utamu wangu afu na mimi nakurudishia vitu vyako..vyote
 
Kanunua simu kampa demu walivyoachana, kampokonya ×2

Wimbo unaitwa WAPAMBE MSITUJADILI by ISSA KIJOTI
Hahha there you're... Kanunua simu ... Kampokonya haha
 
Kama ulimpa kama nimekunukuu sawasawa ni busara iwe ulimpa.
Ila kama ulimuazimisha au alikua anakutunzia tu, kachukue.

Iwavyo, nahisi kama ni kujidhalilisha kumdai akurudishie.

Let the past GO.

mwanaume kuna vitu ulimpa huyo mwanamke je mkiachana kuna haja ya kudai vitu vyako?!
 
Uzi umeshapelekwa kule huwezi kuuona tena ww sio member wa jukwaa hilo

Nmeshaquote toka asbh huwezi ona
Ahaaa duuuh.

Sijui ni uzi upi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee
Mwachie tu kama alishatumia inakuwaje sasa!!!
 
Ukitaka simu,sijui kodi samani za ndani nk
nakuwekea dyaba ujaze utamu wangu afu na mimi nakurudishia vitu vyako..vyote
Hivi sisi kweli hatuna utamu?

Sipo kujadili kama vitu vinrudi ama la... Utamu ndiyo nashida nao.
 
Hivi sisi kweli hatuna utamu?

Sipo kujadili kama vitu vinrudi ama la... Utamu ndiyo nashida nao.
Hamnaga....
nnachoona tu ni jiti linagonga mpaka kibofu cha mkojo[emoji2]
sie wabovu ndo kabisaaa unalia na kulia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…