kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 3,903
- 6,203
Wasomi waliopo hapa watatusaidia. Intelligence Question na Intelligence motion ni vitu viwili tofauti na samahan kama nimekosea spelling najifunza kummeza mzungu . Iko hv ile akili ya kujibia maswali kwa maana ya kukumbuka na ile akili inayojibadilisha ghafla na kukopi mazingira iliyomuhim zaid ni hii ya kukopi. Japo zote zinahtajika .fuatilia utakuja kugundua watu wenye hela nyingi au mafanikio makubwa hawakuwa wa kwanza darasan ila mtaan ni wa kwanza. So nilitaka tu nikujulushe kuwa na IS haimaanishi unaakili sana ila inamaanisha unanasa sana hasa kukumbuka cha kujibia mtihan. Sasa tukija kwenye maisha halisi kinachohitàjika zaid ni Intelligence emotion na sio Intelligence Question. Kwaherikwa hio iQ ndogo inakutoa?? Kuwa na akili usiwe na pesa maana akili itakupatia pesa mkuu