John Amigo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 627
- 416
Katika dar nzima ya Makonda unaeza pata wanaume 10 tuu wakizidi 15 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona nasikia kuna wanaume wengine uwa wanafanya sex after marriage au uwa tunadanganyana sisi wasichana
Shake well before use
Mrs Van
Sasa naamini wanaume wa namna hiyo ni ngumu sana kupatikanaKatika dar nzima ya Makonda unaeza pata wanaume 10 tuu wakizidi 15 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila waoaji wapo wengi ni wewe tu [emoji4]Sasa naamini wanaume wa namna hiyo ni ngumu sana kupatikana
Tena hao wamaume 10 nlosema utafute kwa tochi sio iviivi kwa macho ya kibinadamu [emoji4] [emoji23] [emoji23]Sasa naamini wanaume wa namna hiyo ni ngumu sana kupatikana
Hehehheheheheheee hatariTena hao wamaume 10 nlosema utafute kwa tochi sio iviivi kwa macho ya kibinadamu [emoji4] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
I know ila mimi nilitaka kujua kama kuna mwanaume anayeweza kuoa bila kusex na girlfriend wake mpaka after marriage
Heheheheeeeeeunazijua genye vzr kweli yan zinikamate halafu secretary anajipitisha ovyo ovyo ww huku unanikazia lazma mech za mchangan zipigwe
Sent using Jamii Forums mobile app
halafu na mda huo hutakiwi kuniomba pesa
Yah ni kweli
Kila la kheri mkuu[emoji95] [emoji95]I know ila mimi nilitaka kujua kama kuna mwanaume anayeweza kuoa bila kusex na girlfriend wake mpaka after marriage
inshort hua mnadanganyana na ikitokea umeolewa kweli ujue mmeo amekuoa na michepuko kibao ilokua ina mpoza akat anasubiria ndoaI know ila mimi nilitaka kujua kama kuna mwanaume anayeweza kuoa bila kusex na girlfriend wake mpaka after marriage
Okay
Mmmmmhhhh ila ni ukweli mwanaume avumilie siku zote hizo lazima atakuwa na michepuko tuinshort hua mnadanganyana na ikitokea umeolewa kweli ujue mmeo amekuoa na michepuko kibao ilokua ina mpoza akat anasubiria ndoa
wanaume hatuoi 7bu ya sex kama ww ni package ya kuolewa utaolewa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
natamani kukupinga, with facts lakini mood yangu leo sio kabisainshort hua mnadanganyana na ikitokea umeolewa kweli ujue mmeo amekuoa na michepuko kibao ilokua ina mpoza akat anasubiria ndoa
wanaume hatuoi 7bu ya sex kama ww ni package ya kuolewa utaolewa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
natamani kukupinga, with facts lakini mood yangu leo sio kabisa
haha, leo mi mpole sitobisha...Huna facts hujaolewa
haha, leo mi mpole sitobisha...
hehe, kupo salama bana, ikiwa hakupo salama huwezi kunikuta nashinda jf...Cku ukikaa mpk ucku wa manane lazima nyumbani hakupo salama