Umewahi kukaa ukaongea nae au kumuuliza mbona ana wivu namna hiyo?Sasa nifanyaje kama ndio shida hiyo Imekuwa hivyoo maana imekuwa mbaya hali ni mbaya
Poleee.. Wivu kwenye mapenzi ni kama chumvi kwenye chakula.... Ni muhimu ila ukizidii au kupunguaa inakua sio poaa👍Sasa nipo serious kidogo , So siitaji keroo.
Nauliza tu hivi kwa hawa wanaume wanaokupenda , wanakujali halafu mwisho wa siku wanawivu mno sana , ukiwa sehemu hii nimekuona , wapi sehemu fulani upo nafulani ninani yako?? Sasa yeye hana kazi,kazi ni yakukufuatilia wewe tu??
Halafu simu ikiita anakaa karibu kujua huyo ni nani kwanini kakupigia kwa huo mda halafu anaongea maneno yanaumiza moyo kama vile umemuua yeye sasa ni roho tu inakuandama.
Huli , ukai kwa amani kisa mtu kama huyu yaani kila wakati anakuandama mpaka anakupangia jinsi yakuishi jamani .
Hivi utamuachaje mtu kama huyu aende kwa amani ??
Maana ni kero kweli unachoka akili , mwili,kiroho yaani unaamua kulewa nakulala usimsikie na unaweka head phones, ili akikuongezea maneno usimsikie jamani huyu mtu ni umiza kichwa analaumu kwa kila kitu hachoki kabisa .
Anaboa kabisa sana sana.... aisee kunaboa kabisa
Ataona hajamaanisha...Mtumie meseji mwambie SIKUTAKI SIKUPENDI NA SIJAWAHI KUKUPENDA
Acha kula hela zake uende kwa amaniHivi utamuachaje mtu kama huyu aende kwa amani ??
Shida sio hela hana hela kiihivyo ila anaboaAcha kula hela zake uende kwa amani
Labda RB hiyo itasaidiaHaachiki amekuwa nani? Achana nae akihu harass mchukulie RB atakuacha tu.
Hivi unadhani nikamshaji tu eh huyu ni pandee la mtuMtumie meseji mwambie SIKUTAKI SIKUPENDI NA SIJAWAHI KUKUPENDA
Achana naye komaa na Mjerumani wakoShida sio hela hana hela kiihivyo ila anaboa
Kimekuuma jamani na huyo mjerumani , hayupo karudi mwezi uliopita kwao sasa nasubiri akija tanzania ndio tuone hanaga shida kujua mengi kuniusu aisee . Ila huyu ndio shida sana halafu anajua kuwa nipo na huyu mjeru ila ananiganda sana kabisaAchana naye komaa na Mjerumani wako
Inabidii niachane naye kabisaNdugu achana na huyo mtu..
Nilikuwa na mtu kama huyu aisee nilikaribia kuchanganyikiwa halafu ni wajanja wanakutambulisha haraka haraka ili usimwache kirahisi
Nashukuru Mungu nilimuacha japo kwa mbinde mpk Leo hakubarigi tu nimemblock kila idara
Wengi humu watakuona wa ajabu et unaringa trust me wanaume wa hivyo ndio wanaongoza kwa kuwaua wapenzi wao na kujiua
Kimbia shogaa hakuna mume hapo unajitafutia kifo tu
Sijaelewaunamuachaje pacha wako sasa
We muache tu, ipo siku utaandika uzi mrefu wa kutafuta mwenza.Naomba jinsi yakumuacha maana ukimuacha hakuelewi eti kuwa umemuacha
Danga kwenye ubora wakoNdugu achana na huyo mtu..
Nilikuwa na mtu kama huyu aisee nilikaribia kuchanganyikiwa halafu ni wajanja wanakutambulisha haraka haraka ili usimwache kirahisi
Nashukuru Mungu nilimuacha japo kwa mbinde mpk Leo hakubarigi tu nimemblock kila idara
Wengi humu watakuona wa ajabu et unaringa trust me wanaume wa hivyo ndio wanaongoza kwa kuwaua wapenzi wao na kujiua
Kimbia shogaa hakuna mume hapo unajitafutia kifo tu