mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,606
- 4,393
Danga kwenye ubora wako
Kama ni tamu na wewe danga tu mkuu
Danga kwenye ubora wako
Halafu huyo mwanaume anayepoteza muda wake kuwa na mcharuko kama wewe itakuwa hazimtoshi.Sasa nipo serious kidogo , So siitaji keroo.
Nauliza tu hivi kwa hawa wanaume wanaokupenda , wanakujali halafu mwisho wa siku wanawivu mno sana , ukiwa sehemu hii nimekuona , wapi sehemu fulani upo nafulani ninani yako?? Sasa yeye hana kazi,kazi ni yakukufuatilia wewe tu??
Halafu simu ikiita anakaa karibu kujua huyo ni nani kwanini kakupigia kwa huo mda halafu anaongea maneno yanaumiza moyo kama vile umemuua yeye sasa ni roho tu inakuandama.
Huli , ukai kwa amani kisa mtu kama huyu yaani kila wakati anakuandama mpaka anakupangia jinsi yakuishi jamani .
Hivi utamuachaje mtu kama huyu aende kwa amani ??
Maana ni kero kweli unachoka akili , mwili,kiroho yaani unaamua kulewa nakulala usimsikie na unaweka head phones, ili akikuongezea maneno usimsikie jamani huyu mtu ni umiza kichwa analaumu kwa kila kitu hachoki kabisa .
Anaboa kabisa sana sana.... aisee kunaboa kabisa
Basi wewe unampenda Endelea nae tu ingekua umechoshwa kweli wala si kazi sanaHivi unadhani nikamshaji tu eh huyu ni pandee la mtu
Mimi sijaelewa point yake for real😂Ms eyes Lovie Lady mje mi nimekosa cha kusema 😌
Sasa nipo serious kidogo , So siitaji keroo.
Nauliza tu hivi kwa hawa wanaume wanaokupenda , wanakujali halafu mwisho wa siku wanawivu mno sana , ukiwa sehemu hii nimekuona , wapi sehemu fulani upo nafulani ninani yako?? Sasa yeye hana kazi,kazi ni yakukufuatilia wewe tu??
Halafu simu ikiita anakaa karibu kujua huyo ni nani kwanini kakupigia kwa huo mda halafu anaongea maneno yanaumiza moyo kama vile umemuua yeye sasa ni roho tu inakuandama.
Huli , ukai kwa amani kisa mtu kama huyu yaani kila wakati anakuandama mpaka anakupangia jinsi yakuishi jamani .
Hivi utamuachaje mtu kama huyu aende kwa amani ??
Maana ni kero kweli unachoka akili , mwili,kiroho yaani unaamua kulewa nakulala usimsikie na unaweka head phones, ili akikuongezea maneno usimsikie jamani huyu mtu ni umiza kichwa analaumu kwa kila kitu hachoki kabisa .
Anaboa kabisa sana sana.... aisee kunaboa kabisa
Anataka ushauri 😃😃Mimi sijaelewa point yake for real😂
Tafuta Mzungu Kama hutaki kuulizwa nyendo zako,sisi wa Africa lazima tujuwe wake na wapenzi wetu nyendo zao!!Sasa nipo serious kidogo , So siitaji keroo.
Nauliza tu hivi kwa hawa wanaume wanaokupenda , wanakujali halafu mwisho wa siku wanawivu mno sana , ukiwa sehemu hii nimekuona , wapi sehemu fulani upo nafulani ninani yako?? Sasa yeye hana kazi,kazi ni yakukufuatilia wewe tu??
Halafu simu ikiita anakaa karibu kujua huyo ni nani kwanini kakupigia kwa huo mda halafu anaongea maneno yanaumiza moyo kama vile umemuua yeye sasa ni roho tu inakuandama.
Huli , ukai kwa amani kisa mtu kama huyu yaani kila wakati anakuandama mpaka anakupangia jinsi yakuishi jamani .
Hivi utamuachaje mtu kama huyu aende kwa amani ??
Maana ni kero kweli unachoka akili , mwili,kiroho yaani unaamua kulewa nakulala usimsikie na unaweka head phones, ili akikuongezea maneno usimsikie jamani huyu mtu ni umiza kichwa analaumu kwa kila kitu hachoki kabisa .
Anaboa kabisa sana sana.... aisee kunaboa kabisa
Sawa ila yupo nilimpata humu kaenda kwaoTafuta Mzungu Kama hutaki kuulizwa nyendo zako,sisi wa Africa lazima tujuwe wake na wapenzi wetu nyendo zao!!
Lizee hili likitu sio wa mchezo enzi za mzee remmy ni ndio alikuwa chuoAcha kudate na vijana wanaobalehe .
NiacheeHalafu huyo mwanaume anayepoteza muda wake kuwa na mcharuko kama wewe itakuwa hazimtoshi.
Point ni hivi nitamuachaje mtu ambaye ni anakuandama huishi kwa amani huyu ni mpenzi wangu , sasa anawivu kupitiliza so hadi imekuwa keroo nataka nimuache ila siwezi couse niking'ang'anizi , so naomba idea ya kumuacha kwa amani ili niendeleee na maisha yanguMimi sijaelewa point yake for real😂
Kwanza hana hizo hela mnazosemaUnataka ule hela ya mtu halafu uwe huru?
Huwajui watu kama hawa ni chenga sanaBasi wewe unampenda Endelea nae tu ingekua umechoshwa kweli wala si kazi sana