Download APP inaitwa shazam huwa inasaidia kujua jina la nyimbo na aliyeimbaNashindwa kuweka audio, kwenye kipengelwncha attachment zinakuja picha tu
inaitwa ikia by koffi olomideHabari wapendwa, Naombeni Mnisaidie jina la hii nyimbo maana nimeutafuta sana bila mafanikio yoyote. Natanguliza shukrani zangu