Naomba mnisaidie jamani

Wewe unataka MD/BVM?

Kwa SUA BVM unapata.

Hiyo MD nenda KCMC/BUGANDO.
Una matokeo mazuri ila competition ya KCMC na CUHAS haijawahi kumuacha mtu salama, kwa st.francis, ajuco,st.joseph na kiu unaweza kupata. MUHAS ndo impossible kabisa
 
Some time kuna ukiritimba, nakumbuka room mate alisoma PCB akaibuka na two ya 10 lakini now yuko MUHAS anamalizia mwaka wa mwisho MD. Hadi leo huwa nashangaa mochezo gani ilichezwa.
 
Angalia hapo kwenye MINIMUM INSTITUTINAL ADMISSION POINTS.. utaona mkuu....
Me hapo nimeelewa kuwa minimum points ziwe 8 kwenye masomo yote ma3 mana hawakusema uwe na B B za bio an chemi kwaio km points zko zinafika 8 kwenye physics chemi and.bio umequalify kuomba na ikiwa ni hivo na yy ametimiza.vigezo cjui kwa upande wa maths anaufaulu gan o level
 
Wewe kupata nafasi ya kusoma MD utapata hila sio kwa MUHAs labda ujaribu vyuo vingine.

Suala la mdogo wako,je alichagua kwenda Diploma badala ya Advance alivyokua shuleni? Kama alichagua kwenda Diploma ni rahisi sana kupata MUHAs,Lugalo na vyuo vingine vizuri vya serikali na ataweza kulipiwa ada,maladhi na chakula. Hila kama alichagua kwenda Advance sio rahisi kupata MUHAs,Lugalo,KCMC hapo itabidi achague vyuo vingine vya serikali na vya binafsi.
 
Some time kuna ukiritimba, nakumbuka room mate alisoma PCB akaibuka na two ya 10 lakini now yuko MUHAS anamalizia mwaka wa mwisho MD. Hadi leo huwa nashangaa mochezo gani ilichezwa.

Unashangaa na two ya 10 wakati hadi 11 ziko MD Muhas

Watu wanachochanganya hapa ni kuwa minimum point kwa Muhimbili zatoka kwenye masomo matatu,nimekuwepo hapa miaka yote na vigezo hivi havijawahi kubadilika

Hapo maana yake ukipata C,C na D umo ndani

The only difference is , wakati wetu points zilikua 7 na sio nane kama sasa
 
Hapana.........zile guide book huwa zinabadilika yan zile za miaka ya nyuma na za sasa nitofauti in terms of cutt off points......so kipind hko ambaco rafk yako alipata MD na alipata div two may be cutt off point zilikua chini
 
Kumbe dogo afanye maombi aachane na porojo za humu.
 
Hapana.........zile guide book huwa zinabadilika yan zile za miaka ya nyuma na za sasa nitofauti in terms of cutt off points......so kipind hko ambaco rafk yako alipata MD na alipata div two may be cutt off point zilikua chini
Hapana mkuu, tena 2012 walikuwa wanachukua mwisho one ya 9, sijui kilitokea nini tu
 
Hapana.........zile guide book huwa zinabadilika yan zile za miaka ya nyuma na za sasa nitofauti in terms of cutt off points......so kipind hko ambaco rafk yako alipata MD na alipata div two may be cutt off point zilikua chini
Muda huo huo mwenzake aliekuwa na aloekuwa na point kama zake alikosa MUHAS ikabidi aende KCMC
 
Wewe kupata nafasi ya kusoma MD utapata hila sio kwa MUHAs labda ujaribu vyuo vingine.

Suala la mdogo wako,je alichagua kwenda Diploma badala ya Advance alivyokua shuleni? Kama alichagua kwenda Diploma ni rahisi sana kupata MUHAs,Lugalo na vyuo vingine vizuri vya serikali na ataweza kulipiwa ada,maladhi na chakula. Hila kama alichagua kwenda Advance sio rahisi kupata MUHAs,Lugalo,KCMC hapo itabidi achague vyuo vingine vya serikali na vya binafsi.
Hakuna diploma ya afya anaelipiwa ada...a hakuna option ya kuchaguliwa diploma ya afya moja kwa moja
technical colleges tu ndo mtu anaweza kuchaguliwa moja kwa moja na akalipiwa ada
 
Sasa huyu ana B,C na D anakua na points ngapi?

Dogo ana cut off points above almost kila medical school hapa bongo

Kitu cha kuhofia kwa sasa ni ushindani tu
na huo ushindani ndio nilioufikiria zaidi, sijui kiuhalisia hali ilivyo kwa sasa ila tunatumia experience maana tumepitia hukohuko tumeona mambo yalivyo, mtu uko well qulified lakini unakosa nafasi ya kitu unachotaka... But kujaribu pia ni vizuri as long as mtu anatakiwa kujaza options nyingi, anaweza akaweka MD CUHAS the first choice, halafu na vyuo vingine, ila asijikute kujaza MD pekeyake
 
Guide book ya mwaka jana (2016/2017) inasema lazima uwe na minimun cut off point ya 8 kwenye masomo yako mawili ili uweze kuwa admitted muhimbili (MD)..............kwahyo kwa matoke hayo hutaweza kuchaguliwa MD...labda koz nyingne au uchague ka kcmc ila co muhimbili
hujaisoma vizuri, mbona imetumika lugha simple tu
Nimeattach shot ya TCU guide book 16/17 kwa MUHAS

Nioneshe wapi wamesema masomo mawili
huenda hajaielewa vizuri, ... But muweke wazi huyo applicant kuwa maelezo ya TCU ni kwamba nafasi ya upendeleo hutolewa kwa mtu aliye na B ya chem & bios au juu ya hapo japo principal pass ni C,... sasa kaangali upya results za huyo dogo halafu uone probability ya kuingia MUHAS, ni ngumu mkuu, ni bora hiyo nafasi ya kujaza muhas aweke chuo kingine mbona vyuo vingi tu na watu wanasoma na wanatoka wameiva
 
Me hapo nimeelewa kuwa minimum points ziwe 8 kwenye masomo yote ma3 mana hawakusema uwe na B B za bio an chemi kwaio km points zko zinafika 8 kwenye physics chemi and.bio umequalify kuomba na ikiwa ni hivo na yy ametimiza.vigezo cjui kwa upande wa maths anaufaulu gan o level
Mkuu Cut off points huwa znachukuliwa kwenye masomo yako mawili tu
 
Babu wewe ni mbishi sana,huwezi kuwa unabisha vitu obvious hivi

Naomba nijitoe kwenye mjadala aisee
Guidebook naona inasoma minimum 8 points kwa masomo ya physics chemistry biology ila naona kikwazo wamepewa advantage B ya chemistry km unayo ila sio kwamba hjaqualify vigezo anavyo ila competition tu itasumbua ila km wengi walioomba ni watu km yeye hakuna B nyingi za chemistry inamaana wataacha walio na points 10 km yeye kisa hana BB za chemi na bio? Ilimra nafac zipo vigezo wanavyo wanaenda me nimeelewa ivo points 8 minimmum ila bado watu wanabisha wakat hakuna walipoandika lazima BB au AC
 
I concur
 
Back
Top Bottom