Naomba mnisaidie jamani

Eidy Abd

Member
May 30, 2017
16
8
Natanguliza salam waungwana kwenu nyinyi, kwanza mimi ni new member nilie hitimu mtihani wakidato cha sita mwaka jana(2016) katika combination ya pcb ambapo nlipata alama kama zifuatazo katika masomo yang :-
Physics B
Chemistry C
Biology D
kutokana na ufaulu huo naweza kusoma doctor of medicine(MD) muhimbili, udsm au sua.
Pili ninamdogo wangu kamaliza kidato cha nne mara hii na kapata div2 anataka kusoma diploma muhimbili naomba mnisaidie utaratibu ili na mimi nikamjuze.
Naomba msaada tafadhali
 
Huyo Mwanao utamwacha kwa Bibi au Kwa Baba yake...
 
Natanguliza salam waungwana kwenu nyinyi, kwanza mimi ni new member nilie hitimu mtihani wakidato cha sita mwaka jana(2016) katika combination ya pcb ambapo nlipata alama kama zifuatazo katika masomo yang :-
Physics B
Chemistry C
Biology D
kutokana na ufaulu huo naweza kusoma doctor of medicine(MD) muhimbili, udsm au sua.
Pili ninamdogo wangu kamaliza kidato cha nne mara hii na kapata div2 anataka kusoma diploma muhimbili naomba mnisaidie utaratibu ili na mimi nikamjuze.
Naomba msaada tafadhali
Kwanza nakukaribisha Jukwaani, Karibu the Home of GT.

Pili, hongera kwa matokeo yako. Lakini kwa matokeo hayo, japokuwa umefanya vizuri Kupata nafasi ya kusoma MD katika Chuo cha Afya Muhimbili, inakuwa ngumu kidogo. Kuna competition kubwa sana. Biology imekuangusha kidogo lakini jaribu waweza kufanikiwa.

UDSM, medicine ilikuwepo. Lakini Mh Rais alitoa Ushauri ifutwe na kwa mantiki hiyo sidhani kama Mwaka huu watadahili. Hivyo hakuna. SUA haijawahi kuwa na MD. Labda Udaktari wa Mifugo lakini si wa binadamu. Kwa hiyo SUA pia hakuna.

Pindi wwatakapoanza kupokea Maombi ya Udahili kupitia chuoni moja kwa moja, nakushauri fika mapema au fanya utaratibu wote utakaotolewa na Chuo husika uweze kuangaliana uwezekano wa Kudahiliwa.

Turudi kwa Mdogo wako;
Kozi za afya ikiwa ni pamoja na Unesi, Clinical Officers, Labaratory technicians pamoja na nyinginezo huombewa katika tovuti ya NACTE, www.nacte.go.tz

Hivyo mdogo wako, atapaswa kufuata taratibu zote na aombe chuo husika na kama atakuwa na matokeo ya kuridhisha atapangiwa Chuo cha Muhimbili katika kozi yake.

Nakutakia kila la kheri.
 
MD ya SUA ndio naisikia leo, anyway potezea medicine hapo, upo qualified lakini kupata ni ngumu, labda vyuo kama st.joseph na st.francis,

Fight upate nafasi ya clinical medicine diploma, hapo angalau ni uhakika kupata.
 
Ahsante
 
Mdogo wangu nakuhusia soma course za afya jaribu Udom medicine ata kile Chuo cha ifakara soma medicine ajira ziko nje nje
 
Usiogope nenda muhimbili utapata MD usihofu,..nimesoma pale napaelewa,..hongera kwa ufaulu mzuri gudluck to ur new professional life,
 
MD ya SUA ndio naisikia leo, anyway potezea medicine hapo, upo qualified lakini kupata ni ngumu, labda vyuo kama st.joseph na st.francis,

Fight upate nafasi ya clinical medicine diploma, hapo angalau ni uhakika kupata.

Bora ungemshauri aende CUHAS,SAUT Songea (AJUCO) au hata KIU

Yani diploma?Kwamba akitaka md aanze tena kuitafuta miaka 5!...That is not good
 
mkuu kwa hali ilivyo sasa ni vigumu, hebu mwambie a- calculate cutting point kwa hizo marks halafu uone, MD kwa uhakika angalau mtu awe na cutting points 6+
 
Sasa huyu ana B,C na D anakua na points ngapi?

Dogo ana cut off points above almost kila medical school hapa bongo

Kitu cha kuhofia kwa sasa ni ushindani tu
 
Mbona umefaulu vizuri... Hawa jamaa wanakukatisha tamaa hapa!!??
 
Back
Top Bottom