Naomba mnikaribishe

kunyenge

Member
May 26, 2022
55
74
Habarini wote , me ni mgeni humus ndani ila nimekuwa nikufiatilia madam mbalimbali , nimejiunga rasmi kwa kuwa napata madini ya maana humus.

Kwa ufupi naipenda mno Jamii forum. Kwani ninajifunza mengi, kwa waliotangulia humu.

Naomba mnipokee ...
 
Ahsante sana bro, napenda sana mada zako, kwani nimekuwa nikifatilia sana.

Ki ukweli wewe ni mmoja umenishawishi kuingia humu ili niweze hata kukoment.

Na umekuwa mtu wa kwanza kunikaribisha ubarikiwe mno..
 
karibu tena na jisikie uko nyumba yenye kisima cha mengi
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom