Naomba mnijuze

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Huyu mheshimiwa anamiliki hizi simu zote?
 

Attachments

  • KANDORO.JPG
    35.4 KB · Views: 292
1.Kwa bongo hiyo ni yumkini kabisa!<!-- google_ad_section_end -->
2.Pengine mbali na ukuu wa mkoa lakini pia ni fundi simu.
Si unajua tena ujasilia mali!!<!-- google_ad_section_end -->

Mwenzeni ana majukumu mengi yupo ktk stretejik corner/point kati MBY.TZ.ZAMBIA.CONGO. yaani moja ikiJAM tu ingine ripo!!
 
Tigo, vodacom, zantel, airtel, sasatel, ttcl, huo wa 7 sijui na mtandao gani.
 
Mi nadhani yake moja tu.. zingine za ofisi, masekretari, makatibu wadogo, hapo ndo wameenda lunch au chai saa nne wakazikabidhi bosi wao... Ila kama zote zitathibitika kuwa ni zake, basi nadhani ni ulimbu..ni.
 
Za waandishi wa habari wanarecord mazungumzo!
 
Hizo simu natuhumu kuwa ni za waandishi wa habari ambao wamefika hapo bila ya voice recorders

Nishaona wakifanya hivyo hapo awali
 
mmmmh haiwezekani bana,, naona kuna watu wanamrekodi wakazitupia hapo mezani.. ila ridhiwani anaweza mbona!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…