Comrade Liu Yang
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 206
- 326
Msaada ndugu zangu, naomba mtu binafsi mwenye uwezo wa kunikopesha 13m kaa riba atakayoitaka yeye naomba anisaidie.
TUtakopeshana kisheria,mahakama, na taratibu zote tutafata.
Nina Shida ya DHARULA naomba msaaada nina DHAMANA kadhaa za mali zisizo hamishika.
Naomba msaada Tafadhali.
Alie tayari nitamfata PM yeyote ataeniduhusu nije Pm Kwake kwa msaada zaidi.
ASANTENI,MBARIKIWE NYOTE.