affimation
Member
- Jan 25, 2019
- 48
- 104
- Thread starter
- #21
kuvileta hapana, njoo uvione,weka picha basi ya hizo vitu na je utavileta!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
kuvileta hapana, njoo uvione,weka picha basi ya hizo vitu na je utavileta!!!
kama upo serious picha nikutumie pmweka picha basi ya hizo vitu na je utavileta!!!
Nahitaji 1,000,000 riba 20 percent kwa kuwa sio ya kufanyia biashara marejesho 4 months
Zinatoa vizuri sana ila mwanzo mgumu ukikopa 10,000 kila ukilipa wanakuongezea kiwango cha kukopa, mie hapa nimefikia 150,000 kwa voda na kwa Airtel nilifika zaidi ya hiyo ya voda ila nimekimbia makato yao makubwa
Nenda benki mkuu.Wakuu naombeni mkopo wa 200,000 dhamana ipo. mwenye uwezo au kujua ninapoweza kupata naomba anijuze, dhamana ni TCL smart tv inch 43 na frij, nipo dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapatikana wapi?Wakuu naombeni mkopo wa 200,000 dhamana ipo. mwenye uwezo au kujua ninapoweza kupata naomba anijuze, dhamana ni TCL smart tv inch 43 na frij, nipo dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
DarUnapatikana wapi?