Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
Hahahahahaha duh JF raha sana
Simu mpya kila Mwezi?we msukuma?
Simu mpya kila Mwezi?we msukuma?
Hahahahahaha duh JF raha sana
Mchango wa mawazo na namba ya simu yako vina uhusiano gani?
Hiyo serikali inayokulipa mshahara ambao unatumia kwa nguo na simu na mwingi unabaki kwa umri wa miaka 22 na uzoefu wa miezi 6 ni ipi? Serikali hii ya Tanzania. kwa scale hii ya TGS?!!
Naona umeni miss..
kwa nn?
naitwa mahmoud ramadhan,nna miaka 22,ni muajiriwa serikalini na tokea nimeajiriwa huu ni mwezi wng wa 6,na nnafanyia kazi pale shinyanga ni mtendaji mzuri tu wa kazi kutokana na kazi zilivyo,Sasa mwenzenu kila napo pata mshahara cfanyii kitu cha maana zaidi ya kununua simu na nguo nzuri,na mshahara una baki mwingi tu bt kitu cha kufanya nakua sina basi ni mwendo wa bakurutu a.k.a(MRINA).Naomba ushauri wako hata wa mawazo plz ili mnisaidie kijana mwenzenu coz hata nnapo pata RA yng mwendo ni huo huo,naomba mchango wako 0718388638
Umetoa na namba kabisa worry out subiri hapohapo usitoke wachunaji watakupigia wakufundishe jinsi ya kuzitumia.
sijaomba kuchunywa cute,unapajua MRINA ARUSHA?
Umetoa na namba kabisa worry out subiri hapohapo usitoke wachunaji watakupigia wakufundishe jinsi ya kuzitumia.
Sipajui leta stori ndo wapi hapo?sijaomba kuchunywa cute,unapajua MRINA ARUSHA?
Mchango wa mawazo na namba ya simu yako vina uhusiano gani?
Hiyo serikali inayokulipa mshahara ambao unatumia kwa nguo na simu na mwingi unabaki kwa umri wa miaka 22 na uzoefu wa miezi 6 ni ipi? Serikali hii ya Tanzania kwa scale hii ya TGS?!!
naitwa mahmoud ramadhan,nna miaka 22,ni muajiriwa serikalini na tokea nimeajiriwa huu ni mwezi wng wa 6,na nnafanyia kazi pale shinyanga ni mtendaji mzuri tu wa kazi kutokana na kazi zilivyo,Sasa mwenzenu kila napo pata mshahara cfanyii kitu cha maana zaidi ya kununua simu na nguo nzuri,na mshahara una baki mwingi tu bt kitu cha kufanya nakua sina basi ni mwendo wa bakurutu a.k.a(MRINA).Naomba ushauri wako hata wa mawazo plz ili mnisaidie kijana mwenzenu coz hata nnapo pata RA yng mwendo ni huo huo,naomba mchango wako 0718388638
Napata shida ya kuelewa lengo la kuomba msaada wako.
Pesa unatumia na inayobaki pia ni nyingi...je shida uambiwe namna mzuri ya kufanyia kiasi cha pesa kinachobaki kwa maendeleo yako
Ama upewe msaada ili ujizuie kununua cm na nguo?
..........loading......
endelea tu kununua kila aina ya model ya simu na sasa mwezi ujao kama sikosei kuna iphone 6 inakuja,..
na pia kuna marba ya kijanja kama airmax,jordan, na timz kali zipo kwa soko..!sijui kama huko zipo hii kitu?!