Certified Hater JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 2,036 Reaction score 4,458 May 27, 2017 #21 habari za kuchanga mi sinaga kwa sababu hata mimi sikusumbua watu kwanini wanisumbue
M muhinisugi Member Joined Apr 25, 2017 Posts 43 Reaction score 34 May 27, 2017 #22 Mimi ndiyo sipendi kabisa kusikia habari ya mchango WA harusi Mke wako tuchange sisi
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,369 Reaction score 18,455 May 27, 2017 #23 Alafu uwekwe kwenye kamati
Z Zeni2017 JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 1,247 Reaction score 534 May 28, 2017 Thread starter #24 Halafu MC hatoi shukurani kwa waliotoa mchango.