Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,930
- 19,773
Umerudia, huko juu lishasemwa hiliChemsha mayai matano kisha yaache yapoe kabisa halafu muwekee
Jr[emoji769]
Pole
Umerudia, huko juu lishasemwa hiliChemsha mayai matano kisha yaache yapoe kabisa halafu muwekee
Jr[emoji769]
Hao ni alligator [emoji246][emoji246]kuna Kenge wakubwa kama mamba mdogo yai kwake ni kama goroli, cha muhimu atafute na sumu ambayo haina harufu kuweka kwenye hayo mayai
Leo sichezi mbali na banda lako jiran mayai ya kanga matamu balaaNgoja nichemshe mayai manne ya kanga nione kama atanasa!!!
Inavimba hatar