highlam
Member
- Jul 11, 2015
- 23
- 62
Habari wote, kwa kifupi naomba msaada juu ya mawazo yenu, nimeumizwa saana na mume wangu katika uaminifu wa ndoa, nimengundua mume wangu si muaminifu hata kdg nimeona mpka video akiwa guest na mwanamke, namshukuru Mungu amenionyesha Vitu vingi mnooo anavyofanya, najitunza kutokana na mshahara wangu mwenywe lakini nimekuja kukuta msg na video mume wangu yupo hotelin, guest house anakula raha na wanawake tofauti tofauti wengi, nimeumia mnoo, nafikiri kumuacha aendelee na wanawake alionao, kuanzia sasa ,ingawa anaomba msamaha siwezi msamehe, amenitenda makubwa moyo wangu unauma mnooo nafunga mwaka sijitambui
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app